Tangazo la nafasi ya kazi (clearing agent)

kingjohn255

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
383
474
Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023

Kazi : Clearing Agent
Idara: Operational

Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe amesoma kozi ya CFFPC inayotolewa na chuo Cha Kodi na awe amepata Cheti

Umri miaka 18-50
Dini: Yoyote

Jinsia : Zote (Wenye ulemavu watapewa kipaumbele)
Namna ya kutuma maombi, Tuma CV yako pamoja na copy zako kwenye email: josephariagroup@yahoo.com
Au leta maombi yako ofsini kwetu Mikocheni Shopez Plaza

muda: Kuanzia saa 0800 Hadi 1700
Mawasiliano +255 (0) 719 263 074

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom