Natafuta tenda ya kuwa Tingo wa Malori

pdozen_nation

Member
Nov 12, 2015
50
117
Hivi wakuu nawezaje kupata utingo wa malori sijasomea ufundi ilaa napenda kufanya kazi iyoo kama una connection waku na pia kama kuna changa moto zake mniambie mapema
 
Utingo wapo, sema kujuana, yule anamsaidia kushusha mizigo, hata kubadilisha tairi,dereva Kama tuseme chawa wa dereva
Nnavyojua yule unamuita utingo ni dereva anaetafuta experience ya kazi ndio maana jamaa hapo juu amemshauri asomee udereva na asilimia kubwa madereva wameanzia kuwa utingo
 
Nnavyojua yule unamuita utingo ni dereva anaetafuta experience ya kazi ndio maana jamaa hapo juu amemshauri asomee udereva na asilimia kubwa madereva wameanzia kuwa utingo
Kusomea ni vizuri zaidi, Ila wengine wamejifunzia humohumo na walikuwa hawajui gari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom