Nafasi mpya ya kazi

lee jack

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
922
1,436
Habari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo

NB kampuni ni ya mzungu

Natanguliza shukrani zangu
 
Nenda
 
Kama unamashaka acha baki hapo ulipo nipe hiyo konection maan mm nipo msasani dar hapa..
 
Habari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo

NB kampuni ni ya mzungu

Natanguliza shukrani zangu
Nenda wewe
 
Una Elimu gani? Maana uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana!!!!?

Kuamua, jua yafuatayo:

  • Jina la kampuni.
  • reputation ya kampuni.
  • unaongea na mtu sahihi.
  • ulichofaulu ni nini
  • unaenda kufanya nini
 
Elimu ni degree
Nilichofuzu ni oral interview
Nileongea nae ni mkurugenzi wa kampuni
Uzoefu wangu ni miaka miwili ndo maana Nina wasiwasi kama nitaweza kuongoza office nzima maana Mimi niliomba nafasi nyingine ya kawaida akaniambia nimtumie CV alipoiona ndo akanipigia akaanza kunifanyia interview akaniambia niende nikaangalie office ilivyo na tufanye physical interview tupangiane off days na pia tuongee mshahara
 
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima
😂😂 kwamba huuamini utendaji wako wa kazi?
Kama we mwenyewe hujiamini sisi tukusaidie lipi?

Nauli ni elf 37, semi luxury. Full luxury elf 45. ila pia kuna gari za magazeti, na kuna zile coaster uwa ni bei nafuu nadhani.

Kwa mzungu panaweza pasiwe na ubabaifu. Angekuwa muhindi ndio ungejishauri sana
 
Habari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo

NB kampuni ni ya mzungu

Natanguliza shukrani zangu
Omba likizo ya dharura, usimwambie mtu hata mmoja ni nini kinakupeleka huko Arusha, nenda, ukiona kazi inaeleweka ndio utoe taarifa kuwa unaquit, na ndio uwaambie na watu wengine
 
Lengo la ku apply lilikuwa ni nini?
 
kwamba huuamini utendaji wako wa kazi?
Kama we mwenyewe hujiamini sisi tukusaidie lipi?

Nauli ni elf 37, semi luxury. Full luxury elf 45. ila pia kuna gari za magazeti, na kuna zile coaster uwa ni bei nafuu nadhani.

Kwa mzungu panaweza pasiwe na ubabaifu. Angekuwa muhindi ndio ungejishauri sana
Sijawahi kuongoza office ndo maana nawaza na sijui aliangalia vigezo gani mpaka akataka nikaongoze office yake
 
Omba likizo ya dharura, usimwambie mtu hata mmoja ni nini kinakupeleka huko Arusha, nenda, ukiona kazi inaeleweka ndio utoe taarifa kuwa unaquit, na ndio uwaambie na watu wengine
Mimi Niko Arusha ila kazi mpya iko Dar es salaam mikocheni
 
Sijawahi kuongoza office ndo maana nawaza na sijui aliangalia vigezo gani mpaka akataka nikaongoze office yake
Ulielewa nini kwenye kuongoza ofisi? Maybe yaweza kuwa part of… na sio ofisi nzima.
Ama ni duka?

Mf mie, ni ka petty person tu. Ila kuna some staffs, ziko under me. Hata wakubwa zangu wakitaka hiyo staff ni wanapita kwangu.
Kuongoza ama kuwa na authority na jambo flani, sio big deal kabisa.
 
😂😂 kwamba huuamini utendaji wako wa kazi?
Kama we mwenyewe hujiamini sisi tukusaidie lipi?

Nauli ni elf 37, semi luxury. Full luxury elf 45. ila pia kuna gari za magazeti, na kuna zile coaster uwa ni bei nafuu nadhani.

Kwa mzungu panaweza pasiwe na ubabaifu. Angekuwa muhindi ndio ungejishauri sana
Kuna ile siti ya pale mbele jiran na ......sijui nlitaka kuandika nn bila kujua jinsia ya muhusika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom