Tukomboane kwenye ajira na kazi yeyote halali nipo tayari kufanya

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
436
514
Nimekuwa naomba ajira sana humu sikufanikiwa nimerudi tena na iman nitapata

Wanajamii forum , nina uhitaji wa kazi yeyote halali, hali imekuwa ngumu

, tunandoto kubwa hatuna pakuanzia

Uzoefu
1. Store keeper , miaka miwili

2 . Ualimu( mathematic level class 1-7 ,o level form 1- 4

Basic applied mathematics ya advance & na chuo) & kiingereza pia

3. House boy (nimewahi kujishughulisha na kufanya usafi majumbani na maofisin)

4. Kusimamia duka(ninauzoefu wa kusimamia duka , mfano spare za piki piki).

Na kazi nyingine zakutumia akili nyingi

Na nguvu pia

Nina

Education level: Diploma in Marketing and Public Relations

Gender: Male

Years: 23

Experience : JPY Company ( two mounths)

Location: Dar es Salaam

Mobile: 0626456047

Nawasilishaa!!

Hustle until ur money makes money
 
Ninge kushauri uspecialize huwezi kufanya hazi hizo zote ni lazima uwe na utashi wa kazi moja unao pendelea zaidi.
 
Nimekuwa naomba ajira sana humu sikufanikiwa nimerudi tena na iman nitapata

Wanajamii forum , nina uhitaji wa kazi yeyote halali, hali imekuwa ngumu

, tunandoto kubwa hatuna pakuanzia

Uzoefu
1. Store keeper , miaka miwili

2 . Ualimu( mathematic level class 1-7 ,o level form 1- 4

Basic applied mathematics ya advance & na chuo) & kiingereza pia

3. House boy (nimewahi kujishughulisha na kufanya usafi majumbani na maofisin)

4. Kusimamia duka(ninauzoefu wa kusimamia duka , mfano spare za piki piki).

Na kazi nyingine zakutumia akili nyingi

Na nguvu pia

Nina

Education level: Diploma in Marketing and Public Relations

Gender: Male

Years: 23

Experience : JPY Company ( two mounths)

Location: Dar es Salaam

Mobile: 0626456047

Nawasilishaa!!

Hustle until ur money makes money
Andika bussiness proposal ya kuuza spare za piki piki, i.e andiko mradi kwa kuonyesha inital capital required, location, expected returns and risks za hiyo biashara
Af badaye tuijadili wote .
 
Uko na ujuzi wa ualimu,uko na ujuzi wa marketing ila bado sijajua unakwama wapi.
Upo mkoa gani?
Anyway nicheki pm tushauriane jambo
 
Andika bussiness proposal ya kuuza spare za piki piki, i.e andiko mradi kwa kuonyesha inital capital required, location, expected returns and risks za hiyo biashara
Af badaye tuijadili wote .
Limepita hilo wala halina shida jion itakuwa tayariiii
 
Kama upo dsm jaribu kwenda ubungo kwenye lile soko la east africa linalojengwa unaweza pata kibarua
OFcz pale kazi zinaweza kuepo lakin gauranteed ni za sales zaid na wana target zao si za kitoto wale wachina
 
M nazungumzia kwa sasa hivi wakati wa ujenzi
Anhaaa okay..Nimekusoma ingawa hata sasa wakat ujenz unaendelea tayar wana team za sales wameajir kwa ajil ya kutafuta wateja toka maeneo kama kariakoo na moaka sasa kuna watu tayar wameshakod na kununua ofisi pale na kulipia kabisa kicha yabkwamba ujenz unaendelea. So kwakifupi ule mradi uko in run tayar
 
Sikujua hili hua naendaga tu maeneo yale jumapili jioni kukaa pale darajani
 
Back
Top Bottom