Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari za muda huu wapendwa watanzania wenzangu,nipende kuanzisha jukwaa hili ili iwe rahisi kupata taarifa za kada husika, karibuni sana! Mungu awabariki. #Kaziiendelee
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Naomba kujua makato ya mshahara 1,040,000 (NSSF, PAYE, HESLB, NHIF) Msaada tafadhali
6 Reactions
116 Replies
28K Views
We are looking two persons who have the qualification of enviromental studies from any reputable institution with certificate or diploma for our project located at Geita urbun area.if you see you...
1 Reactions
1 Replies
452 Views
Kabla sijafikiria vibaya, naomba nifahamu muda mlioingia na kutoka katika interview ya TRA UDSM, ahsanteni
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Mambo zenu wakuu kuna wale tuliopambana kufaulu mitihani ya written na kubahatika kuitwa Oral Dodoma na hatujaitwa kazini mpaka leo kwa kada za Afya, Maendeleo ya jamii, Afisa mifugo msaidizi II...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu mliopo mjuu naomba mtupe ndondondo za maisha ya kujitafuta kwa njia ya kupiga box visiwa vya malta. Kazi za aina iyo zipo? Kama zipo za je mgeni anaweza kutumia makeke gani kuzipata? Na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahitaji mtu wa IT Kuna kazi nataka anifanyie, 0624835630 Kuna maokoto yake apa chap
1 Reactions
1 Replies
682 Views
Habari wana Forum Mimi ni Msichana Wa Miaka 26 Nina Elimu ya Kidato cha Nne Kwa Ngazi Ya Cheti Ninatafuta ajira Nina uzoefu wa Kutumia Computer Kwenye Maswali ya Microsoft Word, Microsoft Excel na...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari Ndugu Zangu, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam. Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wana Jf, niende kwenye dhumuni husika, naombeni kazi au kibarua katika sekta ya Magari. , Elimu yangu ni Degree ya mechanical engineering , Nimezuiwa cheti kutokana na kushindwa kulipa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana nina umri wa miaka 24. Ninatafuta kazi yeyote ya kujikimu kimaisha kwa sababu ndio kwanza ninayaanza maisha. Fani yangu ni ufundi umeme na nimefanikiwa kusoma veta...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Post: Finance and Administration Officer Location: Rufiji; Tanzania Contract Period: Fixed Term Contract (1 year- renewable contract upon satisfactory performance) Role Finance and...
0 Reactions
3 Replies
748 Views
Position: Accountant Reports to: Accounting Unit Lead Supervises: None Location: Dar es Salaam Grade: A3 Major functions: Under the directives of the Accounting Unit Lead, the Programme...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda? Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Position: Internal IT Sales officer (one position) Duty Station: Mwanza-Nyamagana Job Description: · Issue Proforma Invoices and follow up for payment · Educate customers on how our...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Position: Receptionist Reports to: Operations Manager Duty Station: Dar es Salaam Supervises: None 1. Specific Duties: Answer telephone and direct calls to relevant destinations in the office...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Position: Business Development Representative Key Responsibilities: Retail Drive retail sales in the specified area through the implementation of the Key Sales drivers (Visibility...
0 Reactions
0 Replies
518 Views
Announcement Number: Dar es Salaam-2023-049 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Administrative Assistant (All Interested Candidates) Open...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Back
Top Bottom