Natafuta kazi yoyote halali

Poor Brain

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
9,807
18,660
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒
 
Sio kula na kulala wewe ni kula na kujaza choo bure na ukiendelea kukaa hapo nakutafutia mume akooe umpunguzie gharama za maisha kaka yako!
Unakuja kunianika mitandaoni eti nakula na kulala?! Kwanini hukuniambia Mimi badala ya kuja kunitangaza huku?! Ulifikri sipo kwenye Jammiforums?!

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Wakuu habari zenu...

Kwa sasa hali ya uchumi sio siri ni ngumu na kila unapoenda wanalalamika hivo hivo. Sasa hapa hom nipo na dogo mtoto wa mama mdogo tangu arudi toka shule hana ishu yoyote ni kamka kula na kulala

Kiufupi ametafuta mishe ila wapi nikaona bora niwajulishe huku wakuu najua connection zipo nyingi..

Kama kuna connection unaweza nitafte kwa hi no 0688-420-451
Tupo mbeya uyole ni wa kiume kazi yeyote poa iwe tu halali
Mbona namba yako haipatikani hiyo kazi tuna kupa vipi boss?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom