Graphic Designer needed

Codexdave

Member
Aug 23, 2022
15
4
Habari,

Nahitaji graphics design mwenye outstanding skills.

Requirements
1. Lazima awe na uzoefu na skills na software mbali mbali za design.

2. Lazima aweze kutafuta masoko / marketing na kufikia malengo.

3. Awe na ushirikiano na team members na kukamilisha kazi Kwa wakati.

Mashahara: 300k per month (unaweza ongezeka adi 500k kutokana na weledi na ubidii wako).

For info send your CV +255682822649
 
Utapata layman kwenye graphics,utafute learner jobless ndio atakubali kazi hiyo. Yaani graphic na afanye marketing?kweli? Kweli? Haupo serious.

Sema watu wandharau Sana graphics design mpaka siku akiwa na shida ya professional graphic design ndio ukiambiwa bei unashangaa
 
Sasa mtu akiweza kutafuta masoko kwako afuate nini?

Kuna mtu mwenye uwezo wa masoko halafu anataka kuajiliwa kwa hizo laki tatu?
Kama una ww si target acha kuuliza maswali ya kijinga . Ndio maana Kuna watu wanasomea marketing na wengine wako vizuri bila kusomea . There all needed in company. Kwann sasa those who do marketing wasifanye marketing ya bidhaa zao wenyewe instead wako employed. So don't interfere people's business
 
Utapata layman kwenye graphics,utafute learner jobless ndio atakubali kazi hiyo. Yaani graphic na afanye marketing?kweli? Kweli? Haupo serious.

Sema watu wandharau Sana graphics design mpaka siku akiwa na shida ya professional graphic design ndio ukiambiwa bei unashangaa
Kubwa apo anaitajika mtu wa marketing mwenye skills za design pia . Kama ww una uhitajiii Kaa kimwa Mzee acha ku interrupt Kaz za watu
 
Back
Top Bottom