Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Position: Human Resource Manager Working Location: Mkuranga Glass Factory We are currently seeking a dynamic and experienced Human Resource Manager to join our team at the Glass Factory. As the...
0 Reactions
4 Replies
953 Views
Mimi ni mwanamke, Nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote. Nina degree ya uchumi na pia Nina diploma ya ualimu. Ninauzoefu Wa kazi kwa miaka miwili.kwa mawasiliano zaidi nipm
0 Reactions
94 Replies
20K Views
I'm a Social Media Marketing Manager. I can help you grow your business through the use of different social media platforms. Develop and implement Social Media marketing in order to increase your...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za wakati huu waheshimiwa!ebwana kwa sasa mimi ni mwajiriwa katika sector binafsi{bank}katika kitengo cha mikopo,mshahara wangu wa mwezi baada ya makato yote,nabaki na 420k,sasa sometimes...
1 Reactions
90 Replies
25K Views
Wanajukwaaa la ajira na tenda heshima na iwe kwenu. Mimi ni graduate katika fani ya Mipango miji na vijiji ya chuo kikuu Ardhi (ARU) Nipo mbele yenu kuomba yeyote yule mwenye connection na kazi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni Mwalimu, nina diploma masomo ya chemistry na Biology uzoefu katika kufundisha ni miaka minne, nina uzoefu kwa primary schools kufundisha science and mathematics na secondary schools...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hicho kiwanda inasemekana kiko mkoani Tanga. Wife kaitwa kwenye interview nafasi ya sales, kuna anaowafahamu hao jamaa na scales zao za malipo?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Shule ya sekondari Uruwira iliyopo Mpanda Katavi inatafuta walimu wa masomo yafuatayo PHYSICS & MATHEMATICS GEOGRAPHY & ENGLISH GEOGRAPHY & KISWAHILI NB Ni shule ya serikari, Free Accomodation...
1 Reactions
5 Replies
822 Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale, mimi ni dereva wa taxi mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za Bolt, inDrive na nyinginezo. Kwa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Msaada: Kazi ya Supervisor kwenye sheli (petrol station) ni zipi? Kwa wenye experience na hii kazi tafadhali naombeni uzoefu wenu, natanguliza shukrani.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu Wanajukwaa Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu, Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kujiandaa kwenye usaili ni kazi nzito kwa watafutaji wengi wa ajira,Yaani unaanzia wapi?unatazamia vipi maswali anayokuuliza mwajiri? Yafuatano ni orodha ya maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara...
12 Reactions
20 Replies
9K Views
Nimejaribu kuwaza hii issue ya connection now days imekuwa ikipewa kipaumbele kikubwa sana kwenye maisha ya sasa, mm nashauri basi mashuleni na vyuoni wanafunzi wafundishwe namna ya kupata hizo...
1 Reactions
5 Replies
528 Views
Habari wakuu! Mdada amesoma (clinical medicine/clinical officer)anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar. Kwa yeyote anayeweza kutoa msaada mawasiliano hayo hapo 0654983243.Asante sana.
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Samahani Sana Wanajamii Kwa Swali hili nahitaji Kujua na Aulizaye si Mjinga. Mimi ni MWAJILIWA katika Kampuni X ,Boss wa Kampuni hii ninayofanyia kazi ni Miezi 4 Hajalipa Mshahara , WENGI Waajiri...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wakuu, natafuta vijana wa kufanya mauzo ya huduma za Tigo. Malipo ni kwa commission Kila mwezi. Itapendeza akiwa Mwanza. Kwa mawasiliano zaidi 0712293364.
1 Reactions
2 Replies
454 Views
Position: Officer 3 – Community Policing and Forestry Contract type & Duration: Unspecified Time Contract Department: Security Reporting to: Senior Supervisor Community Policing Number of...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Position: Nurse-Midwife Reference: MA/NM/KHS/05/03/24 Organization: Maternity Africa Duty Station: Kivulini Maternity Centre, Ngaramtoni yaChini – Arusha Duties and Responsibilities • Ensure...
0 Reactions
1 Replies
517 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…