Msaada: Kazi ya Supervisor kwenye sheli (petrol station) ni zipi?

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Msaada: Kazi ya Supervisor kwenye sheli (petrol station) ni zipi?

Kwa wenye experience na hii kazi tafadhali naombeni uzoefu wenu, natanguliza shukrani.
 
Unamaanisha job descriptions? Acha kutuchosha kamuulize HR wa sheli iliyo karibu yako
 
Msaada: Kazi ya Supervisor kwenye sheli (petrol station) ni zipi?

Kwa wenye experience na hii kazi tafadhali naombeni uzoefu wenu, natanguliza shukrani.
Nenda kawailize wenye vituo vya mafuta,kwani hujui hadi kwenye Bar wapo SUPERVISOR
 
Sana sana ni kumsaidia manager majukumu yake.
Nicheck pm kesho nikutumie majibu sahihi zaidi
 
watu wana mijiroho kama kibanda
Ndio binadamu walivyo, usishangae mkuu.....wengine wanapunguza stress za maisha magumu kwa watu wengi, lengo lao mjibishane akutukane apunguze stress zake na makasiriko.....watu Kama hao unawapotezea tu
 
Back
Top Bottom