Walimu wanahitajika haraka sana

Togolo

Member
Aug 15, 2022
8
5
Shule ya sekondari Uruwira iliyopo Mpanda Katavi inatafuta walimu wa masomo yafuatayo

PHYSICS & MATHEMATICS
GEOGRAPHY & ENGLISH
GEOGRAPHY & KISWAHILI

NB Ni shule ya serikari,
Free Accomodation & breakfast

Kwa mawasiliano Piga simu 0754576401
 
Yaani wangekuwa wanaweka na wao wanatoa ama Wana Nini ili mtu asiwe anahangaika hata kupiga simu
 
Back
Top Bottom