Habari za wakati huu waheshimiwa!ebwana kwa sasa mimi ni mwajiriwa katika sector binafsi{bank}katika kitengo cha mikopo,mshahara wangu wa mwezi baada ya makato yote,nabaki na 420k,sasa sometimes...
Wanajukwaaa la ajira na tenda heshima na iwe kwenu.
Mimi ni graduate katika fani ya Mipango miji na vijiji ya chuo kikuu Ardhi (ARU)
Nipo mbele yenu kuomba yeyote yule mwenye connection na kazi...
Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
Mimi ni Mwalimu, nina diploma masomo ya chemistry na Biology uzoefu katika kufundisha ni miaka minne, nina uzoefu kwa primary schools kufundisha science and mathematics na secondary schools...
Shule ya sekondari Uruwira iliyopo Mpanda Katavi inatafuta walimu wa masomo yafuatayo
PHYSICS & MATHEMATICS
GEOGRAPHY & ENGLISH
GEOGRAPHY & KISWAHILI
NB Ni shule ya serikari,
Free Accomodation...
Poleni na majukumu ya hapa na pale, mimi ni dereva wa taxi mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za Bolt, inDrive na nyinginezo.
Kwa...
Msaada: Kazi ya Supervisor kwenye sheli (petrol station) ni zipi?
Kwa wenye experience na hii kazi tafadhali naombeni uzoefu wenu, natanguliza shukrani.
Habari zenu Wanajukwaa
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu,
Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and...
Kujiandaa kwenye usaili ni kazi nzito kwa watafutaji wengi wa ajira,Yaani unaanzia wapi?unatazamia vipi maswali anayokuuliza mwajiri?
Yafuatano ni orodha ya maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara...
Nimejaribu kuwaza hii issue ya connection now days imekuwa ikipewa kipaumbele kikubwa sana kwenye maisha ya sasa, mm nashauri basi mashuleni na vyuoni wanafunzi wafundishwe namna ya kupata hizo...
Habari wakuu!
Mdada amesoma (clinical medicine/clinical officer)anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar.
Kwa yeyote anayeweza kutoa msaada mawasiliano hayo hapo 0654983243.Asante sana.
Samahani Sana Wanajamii Kwa Swali hili nahitaji Kujua na Aulizaye si Mjinga.
Mimi ni MWAJILIWA katika Kampuni X ,Boss wa Kampuni hii ninayofanyia kazi ni Miezi 4 Hajalipa Mshahara , WENGI Waajiri...
Habari wakuu, natafuta vijana wa kufanya mauzo ya huduma za Tigo. Malipo ni kwa commission Kila mwezi. Itapendeza akiwa Mwanza. Kwa mawasiliano zaidi 0712293364.
Position: Officer 3 – Community Policing and Forestry
Contract type & Duration: Unspecified Time Contract
Department: Security
Reporting to: Senior Supervisor Community Policing
Number of...
Position: Internships
The bank is looking for fresh graduates with strong academic background to join the Bank in an Internship Program. The Interns (2) will be attached in the Internal Audit...
Position: Saccos Manager
NATURE AND SCOPE
The successful candidate will be the Chief Executive Officer of the AMKENI SACCOS LTD and will report to the Board of Directors. He/she will be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.