Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

kamni

Senior Member
Joined
May 29, 2019
Posts
193
Reaction score
279
Habari wakuu, natafuta vijana wa kufanya mauzo ya huduma za Tigo. Malipo ni kwa commission Kila mwezi. Itapendeza akiwa Mwanza. Kwa mawasiliano zaidi 0712293364.
 
Mauzo kama kusajiri lain au kuna nini kingine...mm nipo mwanza
 
Back
Top Bottom