Kwa hali ya ajira ilivyo sasa napendekeza shuleni na vyuoni lifundishwe somo la connection

NEBASA

Member
Feb 17, 2024
15
17
Nimejaribu kuwaza hii issue ya connection now days imekuwa ikipewa kipaumbele kikubwa sana kwenye maisha ya sasa, mm nashauri basi mashuleni na vyuoni wanafunzi wafundishwe namna ya kupata hizo connection maana kwa ukweli usiopingika kwa sasa connection imekuwa muhimu kuliko skills alizo nazo mtu, inaumiza sana popote unapoenda chochote unachotaka kupata wanakwambia huwezi kupata kama huna connection.

Waziri wa Elimu Adofu Mkenda tafadhali natoa ushauri liangalie hili watoto wapewe hilo somo kwa chuo wanagusia kidogo sana kwa wale wa Sociology kuna kitu wanaaita social capital inafanana kwa mbali na hii connection basi kama vipi mlifanye kwa ukubwa wake ili tukomboke tumechoka sasa au ndo mmepitisha kimya kimya ile principle ya "no matter what you know but who you know? "
 
Ukijua kutumia maarifa ulio yaoata kwenye life skills na communications tayari hautopata shida kupata connections
 
Back
Top Bottom