Ndugu zangu, napenda kujua kama ni kweli NGOs zinazotoka bara la Ulaya kama Netherland, Uswiss,UK ni bora sana kwa kuwajali wafanyakazi wake kimaslahi kuliko NGos kutoka Marekani ambazo zingi ya...
Habari zenu wana JF! Kwa kifupi nimemaliza mwezi July pale UDSM. Nimesoma <Bachelor of Commerce in information & material management>. Yeyote mwenye taharifa/anayeza kunisaidia kupata hiyo sehemu...
HELLO J.F,
CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM), WAMETANGAZA NAFASI NYINGI SANA ZA KAZI KWA ADMINISTRATIVE STAFFS.
SOURCE NI GAZETI LA DAILY NEWS TAR. 27 JULY 2011.
DEADLINE NI TAR 10. AUGUST 2011...
Ndugu, natamani kufanya kazi katika mataifa ya Sudani na alfghanistani katika nyanja za Mazingira na Kilimo. Ningependa kujua kama kunamtua anafanya kazi huko au aliwahi kufanya kazi huko kupitia...
Jamani kuna habari kuwa kuna baadhi waajiri siku hizi wameweka msimamo kuwa eti wakati wanatangaza ajira,wanawatenga wasomi wetu wa chuo tukipendacho cha Dodoma!kama habari hii ni kweli,mnataka...
EGPAF TANZANIA - JOB OPPORTUNITIES ANNOUNCEMENT
Title: Field Office Program Co-coordinator
Location: Tabora
Reports To: Associate Director of Field Programs
Essential...
mimi nimemaliza Ifm nina advanced diploma ya computer science, nina uzoefu wa miaka miwili katika maswala ya video editing kwa kutumia program za ADOBE PREMIUM PRO 3, ULEAD NA PINACLES.Pia...
Niliomba kazi NHC ambayo ilitangazwa mwezi wa sita na deadline ya kuapply ilikuwa tarehe 27/06/2011. Title ya kazi ni SENIOR FRAUD INVESTIGATION OFFICER (Ref.No.SFI/nhc/2), je kuna mtu mwenye...
DATABASE APPLICATION RISK OFFICER - 2 POSTS
Reports to: Head of Division
Location: Head Office- System Risks Department
Job Purpose:
Contributing inputs in formulating...
jamani si mnajua kesho ndio interview, anae fahamu jamaa maswali yao yanakuaje atusaidie tujikomboe katika hili si mnajua mtaani pagumu ndugu zangu nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.