Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Safi mkuu, hivi mawarden udom take home wanaondoka na ka sh. ngapi?
 
Mimi nina sifa ila Udom siombi!Udom ni chuo cha kizushi,michakato yao ya ajira haieleweki na ni ya ovyo kabisa.Mtu unaomba una sifa kabisa,huitwi hata kwenye interview.Mpeane hizo kazi wenyewe.
 
Mimi nina sifa ila Udom siombi!Udom ni chuo cha kizushi,michakato yao ya ajira haieleweki na ni ya ovyo kabisa.Mtu unaomba una sifa kabisa,huitwi hata kwenye interview.Mpeane hizo kazi wenyewe.

mkuu acha kuwakatisha watu tamaa, au ndio style yako ya kupunguza washindani?watu tutaomba tu
 
Udom,ubacishaji,majungu lukuki..udin sana!kuna mama anaitwa Mama Salisali...duh n balaa!kwa vijana wadogo naoanza maisha n mahali pazur pa kuanzia!
 
Du hata mm nimeziona lakini mbona mnatutisha huyo mama salisali anagawa na faranga au kavukavu, mm hata nikikosa kz nitamvaa tu na silaha.
naona sasa Chuo kitakuwa na nidhamu, kijiondoe kwenye siasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom