Wana JF,
Kuna nafasi ya kazi (Land Registration Advisor) imetangazwa na Niras Finland na kituo cha kazi kitakuwa huko Zanzibar. Mwenye kujua anuani yao tafadhali naomba aweke humu ili niweze...
TANZANIA REVENUE AUTHORITY
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
POSITION: ASSISTANT TAX OFFICER
Purpose of the Job
To conduct desk/field audits and report to Tax Auditors.
To collect Government...
Wakuu nimepata admission kwa ajili ya PhD kwa chuo cha hapa ndani (Tanzania), sasa ngoma imebaki jinsi ya kupata scholarship. naomba mwenye information yeyote ya organisation inayotoa ufadhili kwa...
student who wants to earn to complete their education can go for the Parttime jobs in Delhi and balance their education and financial needs simultaneously. Lots of companies propose part time...
kuna mdau wetu wa jamii forum anatafuta kazi ana experience ya KUFANYA KAZI BENKI KWA MIAKA MITATU. KAMA KUNA MTU ANAWEZA KUTOWA MSAADA TUNAOMBA TUMSAIDIE.
Wakuu wana JF,
Kama mtakumbuka UDOM walitangaza nafasi za kazi za u-lecturer zaidi ya 100 mwishoni mwa mwezi may, 2011. Je kuna mtu yeyote ambaye aliomba hizo kazi na amepata feedback i.e kuitwa...
ic naombeni mwenye details zote azipaste hapa(kama aliyepost tax officer tra)...tangazo pale zoom lipo fupi kidogo...System Operator Job in Dar Es Salaam, Dar Es Salaam, Dar Es Salaam, Tanzania...
I am graduate in Electrical engineering, looking for a job in either of the following areas contruction and procurement, Electrical Engineering, IT and Telecommunication . if any one looking for...
Hivi jamani sisi tunaomba kazi kupitia email adress CV zetu zinasomwa kweli au? Cz tangu nimeanza andika hizo email zinafika elfu moja but no any response.
Leo nimepigiwa simu kuhudhuria interview tarehe 18/7/2011 pale CHAS_UDOM.
Kwa hiyo wengine mlioomba kazi pale jaribuni kufuatilia kama mmekuwa shortlisted.
Tulichokisikia na kukiona ni muendelezo wa ujinga na umbumbu la baraza letu la mawaziri yaliyote yaliokosolewa na kurudishwakwa bajeti ya wizarani ya nishati na madini yalipita mbele ya baraza la...
samahani wadau, juzijuzi nilisikia gazeti la mwananchi/guardian yalitangaza kazi huko tabora na walitaka mwombaji awe amesoma education /sociology. ni NGO gani hiyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.