Online money making by networking minimum US$ 2500.00 per month | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Online money making by networking minimum US$ 2500.00 per month

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mshiiri, Jul 24, 2011.

 1. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Fungua hapa na uanze kutengeneza mamilioni ya fedha online kwa mwezi bure badala ya kucheza katika facebook
   
 2. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mmmmh!
   
 3. serio

  serio JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,927
  Likes Received: 1,136
  Trophy Points: 280
  kwendeni zenuni
   
 4. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Utumbo mtupu fanya kazi kwa bidii wewe
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hakuna kitu kama bure kupata pesa kama hizo online inahitaji kazi ya nguvu kama ni website yako au blog inabidi iwe na contents za kumwaga na ujue (SEO) Search Engine Optimazation ili uweze kupata traffic and hence monitize


  Kama ni kazi za online huwezi kupata hicho kiasi

  Kama ni affiliate marketing na Google Adwords inabidi ujue kutengeneza good Google Adword Campaigns na hapo inabidi uwe unanunua Keywords kwa Pay Per Clicks na uombe Mungu conversion ya Clicks into sales ni nzuri unless utapata hasara

  Sio kwamba haiwezekani lakini sio pesa za bure unahitaji hard work, time na huwe unaweza kubadilika sababu what works in 2003 haifanyi kazi as well now as before.. Pia inabidi upate Niche market sababu mambo mengi online sasa hivi ni saturated na Big Guns are involved
   
 6. a

  adi New Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwizi tupu tumeshauzoea
   
Loading...