hi guys nina degree ya linguistics natafuta kazi hasa za zinaaoendana na writing skills kama vile editing,translation na proofreading wapi ntapata kazi hizi
wadau ambao tunatafuta kazi na kutegemea ajira na ambao hatuna uzoefu wa kazi i.e experience tushirikiane kuishinikiza serikali yetu ili ikomae na makampuni yote ili yatoe vipengele vya uzoefu...
kijana wa kitanzania aliye lelewa na mzazi "mvuja jasho" kwenye nyumba ya kupanga, leo hii anaambiwa aweke dhamana isiyo hamishika kama vile nyumba, kiwanja ili apate mkopo, wavaa suti wanamwambia...
watu wengine bwana wanatuma emails za taarifa za interview kwa waombaji wa ajira wakati sio wahusika wa AAR HEALTHY Services. Hii inakuaje? inamana applications za hapa online documents zinakuwa...
Wadau kuna yeyote anayejua kama kuna kilichoendelea katika ajira za nssf mara baada ya kufanya written interview pale ifm?mimi nilifanya katika i.t position
IT and computer software industry is currently experiencing a boom despite the economic meltdown the world over. Hence, the demand for well trained computer software professionals has also...
Ni sifa zipi zinahitajika ili mtu aweze kuajiliwa kama mtendaji wa kijiji au kata? Elimu yangu ni graduate wa UDOM mwaka huu nina provisional result tu lakin kwa tarifa nilizonazo transcript...
Ni matumaini yangu kuwa afya zenu ni nzuri na mungu anaendelea kuwabariki. Mimi ni nimemaliza shahada ya biashara na uongozi, (bachelor of buriness administration). Shida yangu ni kupata nafasi ya...
habari ndugu zangu,natumai kuwa mu wazima na Mungu anawasaidia.nina mdogo wangu anatafuta kazi yoyote ya kufanya kwani ametafuta mpaka amekata tamaa. Yeye amemaliza form four na kupata division 4...
Ndg M TZ,Kama mpaka leo hujapata kazi hizo hapo juu na hujui kwanini nenda Quality Plaza/Pugu Road njia ya kwenda uwanja wandege,
kuna supermarket /duka la UCHUMI-kutoka kenya.
Wanasema wamekuja...
Anatafutwa mtu anayefaa kuwa secretary/office administrator ,kwa uchache awe na sifa zifuatazo;
amemaliza Kidato cha sita, uzoefu si chini ya miaka miwili na awe amesomea kazi husika.
MWISHO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.