NGOS kutoka Ulaya Vs NGOs kutoka US

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,334
5,568
Ndugu zangu, napenda kujua kama ni kweli NGOs zinazotoka bara la Ulaya kama Netherland, Uswiss,UK ni bora sana kwa kuwajali wafanyakazi wake kimaslahi kuliko NGos kutoka Marekani ambazo zingi ya hizo zinapata fund kutoka USAID.Mwenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye NGOs zinazotoka mabara tofauti naomba atujuze.

Asante
 
Kibongobongo inawezekana, ni hisia tu lakini wamerekani wanata unegotiate terms na sio vile wabongo wanataka mwajiri awapangie kila kitu.

Kuwa na terms zako ndio useme nani anatoa better terms, ze better unegotiate ze better terms u get.
 
kwa hiyo unasema NGos za kimarekani ni nzuri kwa kuwa kunanafasi ya kunegotiate???.Je kwa mazingira ya kutokujua kunegotiate , je ni Ngso za bara lipi zinaomngoza kwa kutoa maslahi bora?
 
Namaanisha, utamu wa pipi ni mate yako, know ur value first then unaweka terms zako mbele ndio maana kazi zingine huoni hata slip za met ili usije leta utata wakati mshahara unataja mwenyewe.
Sidhani kama bara linamata, ila ulaya wako more fair
 
Asante mkuu, ngoja nawengine tuone uzoefu wao.
 
Back
Top Bottom