Barua ya maombi ya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya maombi ya kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bayo, Jul 27, 2011.

 1. B

  Bayo Senior Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wadau nilikuwa nauliza eti barua ya maombi ya kazi inayopendekezwa ni ya kuchapa au kuandika kwa mkono. Naomba msaada wenu jamani
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  wewe unaonaje?

  Duu Joined 2nd July 2009 one post????
   
 3. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  andika kwa mkono it more kubamba dan kutype.
   
 4. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jombaa huyo jmaa alipigwa BAN ya miaka 2 since 2009. Unacheza na jitu INVISIBLE..!
   
 5. B

  Bayo Senior Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sina jibu kamili coz kuna time nliomba udom kny department nikaambiwa nichape. Lakini kitaa watu wengi wananiambia kwamba niandike kwa mkono, so im on the middle of nowhere so nisaidie if you know
   
 6. B

  Bayo Senior Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nlikuwa cjajua utamu wa jf ndo mana nlikuwa kimya..... Ila hiii ni bonge moja la SN.. Sijapigwa ban wala nini na invisible
   
 7. B

  Bayo Senior Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna cha BAN wala nini hapa
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  inategemea organization unayoomba nyingine wanataka typed wengine kwa mkono
  fuata maelekezo wanayotaka, wengine ukiandika kwa mkono wanatupa kwenye DUSTBIN
   
 9. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  dunia ghani hiyo ya kuandika barua ya kuomba kazi kwa mkono sasa hivi?...dah
   
 10. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kama hawajaspecify basi ya mkono ni nzuri zaidi kuliko ya kutype. Nilifundishwa hivyo
   
 11. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ya kutype inasaund zaidi, kwanza inasomeka vizuri, pili wana-asume umetype peke yako so unajua kutumia kompyuta. Hapa kwetu ukileta barua ya mkono hata hawaisomi wanadamp fasta
   
 12. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Whether typed or handwritten, the letter should be signed by the applicant
   
 13. fxb

  fxb Senior Member

  #13
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ya kuchapwa ina nguvu zaidi hasa siku hizi waajiri wanakwambia utumie email address. La kusign nalo linategemea shirika uchunguzi nilioufanya idara inayohusika na kuajiri wanaangalia sana CV au Resume na wakiridhika wanachukua hiyo barua yako.
   
Loading...