Natafuta sehemu ya ku-volunteer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta sehemu ya ku-volunteer

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by gwankaja, Aug 2, 2011.

 1. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,501
  Likes Received: 987
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana JF! Kwa kifupi nimemaliza mwezi July pale UDSM. Nimesoma <Bachelor of Commerce in information & material management>. Yeyote mwenye taharifa/anayeza kunisaidia kupata hiyo sehemu, tuwasiliane kupitia 0719193149
   
Loading...