Forum: Natafuta kazi wakubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Forum: Natafuta kazi wakubwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mapujds, Jul 29, 2011.

 1. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mimi nimemaliza Ifm nina advanced diploma ya computer science, nina uzoefu wa miaka miwili katika maswala ya video editing kwa kutumia program za ADOBE PREMIUM PRO 3, ULEAD NA PINACLES.Pia ninauzoefu katika maswala ya networking na computer maintanance and upgrading.nina uwezo wa kufundisha topic za multimedia, networking,website development, mathematics na nyingine nyingi.yeyeote ambaye anafahamu sehemu ambayo ninawezakupata kazi ikiwa ni pamoja na kufundisha naomba tuwasiliane niko tayari.tuwasiliane kwa kupitia namba hizi 0655222214, 0768222214 na 0788532827.asante wana jamii.
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Asante mkubwa nitatuma vyeti vyangu.naomba wengine nanyi mnijulishe sehemu zingine kama tujuavyo soko la ajira ni gumu.
   
Loading...