Kuhusu kazi shirika la nyumba (NHC) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu kazi shirika la nyumba (NHC)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ng'wana mlingwa, Jul 27, 2011.

 1. n

  ng'wana mlingwa Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Niliomba kazi NHC ambayo ilitangazwa mwezi wa sita na deadline ya kuapply ilikuwa tarehe 27/06/2011. Title ya kazi ni SENIOR FRAUD INVESTIGATION OFFICER (Ref.No.SFI/nhc/2), je kuna mtu mwenye taarifa kama watu wameshaitwa kwenye interview maana sijasikia lolote.
   
 2. k

  kinjekitileh Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijasikia kabisa huenda bado
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa iaonekana miyeyusho tuu!
   
 4. L

  Lutifya JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 80
  Nionavyo mimi NHC pamoja na kwamba ni shirika ambalo linaongozwa na kijana below 40yrs utendaji kazi hasa kwenye swala la ajira ni warasimu sana. naona kama ajira wanatangaza kama formality tu. Hawana tofauti kabisa na mamlaka ya Bandari-TPA, UKIONA WAMETANGAZA KAZI usishangae kuambiwa kuwa watu walishaanza kazi. usemi kuwa if you don`t here from us consider yourself unsuccessful, una maana zaidi ya ile unayojiua.
   
 5. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  kaka upo sahihi asilimia zote
   
Loading...