Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi za mining engineering

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MKANDAHARI, May 1, 2012.

  1. MKANDAHARI

    MKANDAHARI JF-Expert Member

    #1
    May 1, 2012
    Joined: Apr 7, 2011
    Messages: 552
    Likes Received: 151
    Trophy Points: 60
    Habari zenu wadau! nawaombeni kwa mtu yeyote anaefahamu sehemu zenye nafasi za kazi za Migodini naombeni mnijuze manake nisha-fight lakini hali bado ni tete! nina DIPLOMA IN MINING ENGINEERING!! naweza chapa kazi for all SURFACE and UNDERGROUND Mines!! Natanguliza shukrani!!
     
  2. C

    Crecent Member

    #2
    May 1, 2012
    Joined: Feb 17, 2012
    Messages: 35
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Usihofu kijana,endelea kutafuta pia jaribu kucheki magazeti mara kwa mara hua naona Barrick wakitangaza,mara nyingine huwa wanahitaji watu wa diploma na technicians
     
  3. n

    neema pita Member

    #3
    May 3, 2012
    Joined: Apr 26, 2012
    Messages: 30
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    jaribu kuwasiliana na meneja mahusiano mgodi mpya bukombe unaweza ukafanikisha ila pesa mkononi hakuna kaz ya bure all the best 0769560479
     
  4. cjilo

    cjilo JF-Expert Member

    #4
    May 4, 2012
    Joined: Sep 8, 2011
    Messages: 871
    Likes Received: 146
    Trophy Points: 60
    barick gold mining kuna nafasi za kazi nyingi sana, check mwananchi la tarehe 03/05/2012
     
Loading...