nikisoma hii nitapata kazi kweli

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Poleni na miangaiko yenu wan JF naombeni lakini msaada wenu kidogo ivi niki soma degree ya Public Relations and marketting kweli ntaweza kuchukuliwa kufanya kazi inayousu Marketing naombeni msaada wa mtu mwenye experience au anayemjua mtu aliyo isoma na kuajiriwa kwenye kazi ya Marketing.. Ahsanteni nyote
 
Ni kweli unaweza kuwa kama shy-rose. lakini tahadhali nzuri nyingine ni kwamba unaweza utafute kazi uchelewe kuipata, au uipate ukute mazingira yake yanakupa kichefuchefu. Siku hizi tunashauri vijana kuwaza pia uwezekano wa kubuni biashara binafsi. Ukisoma PR na Marketing biashara yako binafsi itapaa kama tai.

Katika kozi yako watakufundisha jinsi ya kumtambua mteja wako, watakufundisha jinsi ya kutambua matamanio na mahitaji halisi ya mteja wa biashara yako, jinsi ya kuposition biashara yako, na jinsi ya kupamba biashara yako kwa maneno na matendo. Big-up man. umechagua kozi nzuri sana. Na kazi lazima utapata tu; ya kwako binafsi, au ya kuajiriwa.
 
kudos mkuu la maana nikujiajili na sio kuajiliwa..
 
Ivi hawa si ndio wakina badra masoud{yule kiherehere wa tanesco}?
 
Kila coz kazi ngumu ukitaka urahic kasome Bachelor ya Education maake najua upande wa pili u-dkta hauna vgezo, so kuhusu kazi ucjali mi nimegraduate mwezi wa 11 SAUT kozi hiyo na asaivi ni Marketing manager mahala na mshara mkubwa tu. Ni bonge la kozi.
 
Judge man's wisdom by his HOPE kwani waliosoma PR wajombazao ndio maboss.?Unakwenda kusoma kupata maarifa na zaidi ya yote kupata Ujasiri wa kulinda na kutetea maarifa hayo na ndicho kinaitajika katika ajira.Don't worry about a thing coz every thing gonna be alright.(Bob Marley).
 
Nawashukuri sana kweli mawazo yenu yameni inspire kutoka kwenye mindset ya kusoma -kuajiriwa -pension -kufa ...
 
Back
Top Bottom