Kuitwa kwenye interview access bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kwenye interview access bank

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mwambojoke, May 3, 2012.

 1. mwambojoke

  mwambojoke JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 60
  Wadau naulizia kwa wenye uzoefu na Access bank,interview ya kwanza huwa inakueje(oral au written) coz wame n sms niende kufanya interview,na je kama ni written huwa ni maswali gani?,au ndo general knowledge and apititude test!?
   
 2. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hata mie nimepata sms yao,wanadai kwenda na passport size!!inawezekana ikawa applitude test,ngoja wazoefu waje watujuze!!
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  kwanza mnaenda msimbazi centre watu kama 5000 iyo ni written
  mnapunguzwa mnabaki tena 2500 mnapiga nyingine tena
  1000 nyingine tena
  500 discusion
  100 discusiion
  50 discussion
  20 oral
  wki nzima interview mkubwa.......
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,159
  Likes Received: 1,365
  Trophy Points: 280
  ala la heri, najua lazima mkiajiriwa muwe wezi, kwani hakuna mtumishi wa benk asiyeiiba, hasa wale wenye kushika pesa
   
 5. King2

  King2 JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  written maswali gani wanauliza!
   
 6. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,748
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  msisahau peni ndugu zangu,mahesabu yapo ila hiz hesabu za kawaida elementary maths
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,126
  Likes Received: 7,081
  Trophy Points: 280
  Hii tabia ndiyo sababu kuu iliyonifanya niwe mjasiliamali ni upumbavu mtupu, unakwenda sehemu unamwaga Material ya ukweli kuanzia Presentation mpaka solo Presentation halafu kwenye kutoa ajila unashangaa ni matango pori tupu. Phweeeeeeeee!!....
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,126
  Likes Received: 7,081
  Trophy Points: 280
  Huu ni utoto unaleta unakwenda kwenye Interview wakati haufahamu ni kazi gani umeomba? unatumia Internet unashinda JF na Facebook badala ya kufunguwa website yao ili usome Hiyo Benki ilianzia wapi ni nani muanzilishi ina account za aina gani inatarget wateja wa namna gani!!

  Internet kazi yake siyo Facebook na JF, jielimishe wewe mwenyewe kupitia hii mitandao, ni uzembe na kutojiamini kutaka kujuwa utaulizwa swali gani,wewe unatakiwa uwe Ready 4 Whatever.
   
 9. King2

  King2 JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  punguza jazba mkuu.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,126
  Likes Received: 7,081
  Trophy Points: 280
  Utayakumbuka maneno haya niliyokwambia.
   
 11. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa access bank wanatuchanganya coz nimeona tangazo lao la kazi jana na wameandika deadline tarehe 21may mwaka huu na nafasi walizotoa ni cashier na micro loan officer,je na mimi nitume au ndo imekula kwetu tulochelewa?
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,126
  Likes Received: 7,081
  Trophy Points: 280
  Huyu nae anataka kufanya kazi Benki, anashindwa hata kujuwa tafsiri ya neno deadline 21may!!?? hawa ndiyo wasomi wetu tunaozalisha sasa hivi. hili ni janga kwa Taifa.
   
 13. i

  interlacs Senior Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Unaogopa interview? wabongo bana!
   
 14. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me nnavyojua deadline ikishafika ndo watu wanaanza kuangalia barua zilizotumwa then watu wanaanza kuitwa kwenye interview ndo maana nikashanga hila ww ndo janga me nimeuliza kiasi cha kuniambia tu unaanza kuleta dharau
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,126
  Likes Received: 7,081
  Trophy Points: 280
  Dharau umejidharau wewe mwenyewe, wewe hujui wenzako waliapply lini ndio maana wameitwa kwenye Interview, na wewe Tangazo uliloliona halihusiani na intake yao, hapa panahitaji kuwa Profesa kulielewa hili kwamba kwenye taasisi nyingi Vacancy inapotolewa kila moja ina deadline yake?
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,674
  Likes Received: 907
  Trophy Points: 280
  Hwa Access Bank kwa Job turnover ndio wenyewe...............watu hawakai pale sijui ni maslahi au ni kitu gani......!
   
 17. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini me sindo nilivyouliza ,ww ungeniambia kama ulivyoandika hapa kua hao wali apply kabla ya tangazo hilo ambalo me nilisema lakini ww umeanza maneno mengi mara hili janga la taifa.poa lakini nnashukuru kwa kunielewesha.
   
 18. King2

  King2 JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  shukrani nimejaribu kuyafanyia kazi.
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Yani unampiga biti halaf unampa hints kama sio maswali yenyewe!
  Cha ajabu ye mwenyewe ataona umemmaindi na hata hizo hints sijui ka ataziona.
   
 20. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,148
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  The test is made up of two papers, 50 questions each and you are expected to make at least 50% in each (25marks). Its a combination of Maths, English, Critical Reasoning and a little bit of Current Affairs (States and Capital). Just study GMAT.
  You also need to know a bit about banks generally- general and simple policies, which banks are defunct etc.

  ukigoogle utaona kama haya: nime copy & paste
   
Loading...