Mwenye uzoefu kuhusu ajira kupitia erolink | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye uzoefu kuhusu ajira kupitia erolink

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by evaluator, Apr 19, 2012.

 1. e

  evaluator Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nilifanya usaili na hawa jamaa wanaojiita erolink,baada ya kumaliza taratibu zote wananiambia kwamba wao ero link ndio watakao niajiri,halafu duty station yangu itakua kwenye hiyo kampuni husika ndio wanatafutiwa mtu.

  Tafadhali mwenye kujua utaratibu wa hawa watu je unafit?hawazungushi ikifika mda wa kulipa mshahara?nakuusu increament imekaaje?details please.
   
 2. aye

  aye JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  wanalipa il full uchakachuaji haokawaulize customer care vodacom wanalia balaa
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ero link hovyo kabisa afadhali mkataba wao na voda unaisha mwezi mei na Rene keshaona ni wababaishaji anataka kuwapiga chini
   
 4. e

  evaluator Senior Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ko mkuu unanishauri nisithubutu kuresign nilipo kwenda kwa hawa watu
   
 5. s

  sithole JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu mimi nakushauri kitu kimoja!nenda uwaulize hao erolink wanakupeleka kampuni gani?na malipo yako yatakuwaje?manake kuna makampuni mengi mazuri ya nje huwa wanachukua wafanyakaz kwao then baada ya mda wanawaajiri moja kwa moja!pia kwenye salary yako watakua wanakukata?au mwajir ndio analipa hiyo commission?manake hawa huwa wanaishi kwa commission.
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu Sithole, waweza kutaja makampuni ambayo erolink wanapeleka waajiriwa wao?
  Mimi nayafahamu haya, Vodacom, Dhl na Bmtl ambayo yote ni ovyo tuu.
   
 7. e

  evaluator Senior Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wamenia mbia kuhusu kunipeleka kampuni inaitwa TIPER,mm wananiajiri wao kwa mshahara tuliokubaliana,then wao watakua wakilipwa na TIPER.wasi wasi wangu is this sustainable?wanaaminika hawa!wao wananilipa tulichokubaliana ila kiasi wanachochukua wao kutoka tiper sijakijua.
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh kweli mjini mipango....kama umeridhika na kiasi mlichokubaliana its better ukienda.
   
 9. King2

  King2 JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lazima wachakachue Mshahara wako huo, Erolink ni Matapeli.
   
 10. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  dah kweli town ni mipango
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  siyo urefu wa maghorofa
   
 12. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  naskia jamaa waovyo sana, tabia yako ni hiyo ya kula pasu kwa pasu. alafu wanalipa kiasi kidogo sana.
   
 13. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili ndo tatizo la nchi yetu .Shida ya mtu ni faida kwa wengine. hasa sisi watoto wa kajambanani ndo kabisaaa.  nakushauri kama hauna kazi nenda ukafanye kazi usisikilize watu wa humu wengine wanaleta utani na kati ww uko serious
   
 14. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kaka/Dada kama hauna kazi nenda kwa hao jamaa bt if u have any better uendelee na hiyo hiyo. Hao jamaa ukiugua siku tatu katika mwezi zile siku wanakukata ktk mshahara wako usipofika kazin ndg wanapunguza pesa. Ukienda matenet ndiyo kabisaaa umejifukuzisha kazi(Kama wewe ni mdada)
   
 15. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  naskia wanaingia mkataba wa miezi mitatu mitatu
  kwa hiyo hamna likizo,sijui maternity live
  hamna increment,wala extra allowance
  overtime allowances wanachakachua

  makaburu hawa,harsh as always
   
 16. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  nenda ila am sure utarudi kuwaanzishia thread nyingine hawa wandugu,wananyanyasa wafanyakaz wao sijapata ona,tegemea salary tu,tena wanalipaga laki 4,no overtime,no any other allowances,mkataba ni 3moths!!so if ur satisfied just go n do ur work,ila lazima ulie
   
 17. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazushi hao watu kuwa makini mi nilienda kufanya usaili pale masaki inaonekana hawako makini na kazi zao ingawa kuna wazungu pale kwenye ofc zao ila wababaishaji tu.
   
 18. King2

  King2 JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kuwepo kwa wazungu ndo kitu gani. Au haujui hao wazungu makaburu ndo wanyonyaji balaa. Hebu tuachage Infiriority Complex.
   
 19. King2

  King2 JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mkuu piga nao mzigo, kwa kuanzia sio mbaya utengeneze CV. Mi mwenyewe nimepiga nao view moja ya Voda ndo nawaskilizia though wako kimya
   
 20. y

  ymalago Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda mwenyewe TIPPER,ni kiampuni ya mafuta ipo kigamboni,hao erolink ni madalali tu,wewe kama vp ibuka na macv yako pale kati
   
Loading...