Interview ktk Jeshi la Magereza Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Interview ktk Jeshi la Magereza Tanzania.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tugutuke, May 3, 2012.

 1. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hivi naomba nijulishwe,usaili kwa walioomba kazi[nikiwemo] katika jeshi la magereza ni lini,na tutajuaje kuwa leo ndo usaili? Maana siku tunapeleka barua za maombi walikuwa wanakusanya tu na kutwambia turudi home. So mwenye info za kutosha kuhusu hili,anidadavulie.
   
 2. r

  rimoy Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cjui, ukijua tujuze mkuu
   
 3. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  pole, watu wamefanya intavyuu na kupima urefu tarehe 02.05 pale gereza la keko na watarudi tena tarehe 11.05.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Gereza la Kisongo Arusha tumefunga rasmi jana intavyuu!
  Mwenzetu sijui unataka intavyuu ya aina gani!
   
 5. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Je kwa upande wa gereza la Segerea. Make urefu tulipima siku tunapeleka barua za maombi. So cjui ile basic interview kwa Segerea itakuwa ni lini. Msaada tena.
   
 6. Steang

  Steang JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Walifanya kwenye tarehe1 mwez huu.
   
Loading...