Nafasi ya kazi ya afisa tarafa

lutayega

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
1,288
552
Nimepewa taarifa ya kuwa katika gazeti la habari leo na daily news ya jana tarehe 30.5.2012 kuna nafasi za kazi za maafisa tarafa 145 nchini TANZANIA. Naomba aliyebahatika kupata magazeti hayo atuwekee hilo tangazo hapa. Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom