"Nafasi za uhamiaji"

Magwero

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
243
75
Wanajamvi, naomba msaada wa taharifa juu ya Nani namwandikia,,post ninayoomba na taharifa nyingine muhimu..
Mim ni form 4 leaver..
Pls help..
 
Wanajamvi, naomba msaada wa taharifa juu ya Nani namwandikia,,post ninayoomba na taharifa nyingine muhimu..
Mim ni form 4 leaver..
Pls help..

so form four leaver ndio hata lugha yako huijui.co taharifa ni taarifa.jiandae kufeli kwa mwenendo huo.
 
Kule wanatakiwa watu wanaojua lugha vzr,asa we hata kiswahili chenyewe hujui.
 
Tembeleo ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu na ulipo, mwisho wa kutuma maombi ni 06/05/2012;Kama huna wakukushika mkono sahau :
 
so form four leaver ndio hata lugha yako huijui.co taharifa ni taarifa.jiandae kufeli kwa mwenendo huo.

i hate this kind of thinking!
anyway, wahenga walisema:
"Be the change you want to see
around u"...
 
Hivi watu wanaokwenda uamiaji nao wanagonga kwata kama wenzao wa magereza na jeshi la polisi?kwa anayefamu kuhusu idara hii.
 
ninavyofaham mm n kwamba idara zote za mambo ya ndan znz kwata.
 
ninavyofaham mm n kwamba idara zote za mambo ya ndan zna kwata.
 
kwata ni kama kawaida tena sasa hivi mwaka mmoja
mwandikie KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI P O BOX 512 DSM POST NI CONSTABLE KWA FORM FOUR NA KOPLO KWA FORM SIX
 
kwata ni kama kawaida tena sasa hivi mwaka mmoja
mwandikie KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI P O BOX 512 DSM POST NI CONSTABLE KWA FORM FOUR NA KOPLO KWA FORM SIX

Sasa mkuu kama una degree inakuaje hapo?na vp about salary inalipa coz hilo kwata lazima kidogo ujitoe mhanga.
 
Dah!mbna nitalichelewa?ningejua mapema,ila kesho ngoja nita2ma au vp wadau?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom