Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kazi kwenu wa Tz, mimi ninachojiuliza ni kimoja tu, Je hizi nafasi walizo Re-advertise,inamaana zilikosa wenye vigezo au watu hawaku-apply kabisa ama Waliajiriwa watu kujazanafasi hizi ambao sasa...
2 Reactions
9 Replies
16K Views
nina adivance diploma ya marketing,(frm CBE)natafuta kazi zaidi ya mwaka....msaada wenu wana jf
1 Reactions
5 Replies
1K Views
nilisikia katika kipindi cha magazeti juzi,,mhs sabodo akinukuliwa kusema wenye shuida ya pesa weaende kwake,,je nikweli na anatoaje ?masharti
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza rushwa ya ngono hasa maofisini. Mbunge wa Kawe Halima Mdee amewataka Wasichana kujiamini na kutokutegemea kutoa Rushwa ya Ngono ndipo watimize ndoto zao za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samahan wakuu mimi ni muhanga wa ajira hapa nchini na jana nimesikia tichaz wamegoma je wamegoma mpaka kuhesabu watu ili sisi tusio na ajira tujue kama tutapata japo kanafasi maana matichaz ndo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Samahani wakuu mwenzi uliopita kuna ndugu yangu aliitwa kufanya interview ya customer care vodacom na hii kampuni na walifanya written interview wakaambiwa wataitwa tena kwa oral interview je huwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani tangazo la kazi limetoka, umetuma maombi, after a month and more umepigiwa simu uende kwenye interview, umefanikiwa kwenda, baada ya interview wamekupenda na wamekupa kazi na inbrief baadhi...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Wadau, Nani anafahamu kama bot wesha short list zile kazi wametangaza hivi karibuni??? Au huwa wanachukua muda gani kutoa short list???? Deadline ilikua july 20,2012..asanteni wadau.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kuna mashirika ya umma kama tanapa, tra n.k. je mashirika haya wanaajiri watu baada ya muda gani?. TRA walimfanyia oral interview rafiki yangu mwezi mmoja umepita hakuna feedback yeyote. TANAPA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua hii scale ya pgss 13 ni mshahara wa kiasi gani?
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Mimi nimemaliza kidato cha nne miaka ya tisini. sikufanikiwa kuendelea na masomo kutokana na matatizo ya kifamilia. Na sasa nina familia tayari swala la kurudi shule naona kama ni gumu kidogo...
2 Reactions
36 Replies
15K Views
mimi ni mwanafunz wa mwaka wa 3 nasoma education(history,kiswahili)naitaj tempo ya kufundisha ila iwe arusha mengne ttaongea
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jaman watanzania kuna sponsor kwa ajili ya wanawake na wale wote wenye ulemavu kusoma hapa nchini, Tafadhali mjulishe ndugu yako afungue website ya Utumishia http://www.utumishi.go.tz au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenyekujua jinsi ya usaili wa mtihani unavyokuwa wa tume ya ajira.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello wana jf?natumaini mu wazima.Naomba msaada wa kujua kiwango anacholipwa project coordinator.Najua humu kuna watu wa nyanja mbalimbali watanipa mawazo.ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Are you an experienced Internal Auditor?CPA(T) holder?motivated to work with an International Organization and with at least 4 years working experience ? If Yes!confidently apply to World Vision...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu nilikuwa naomba mwenye taarifa kuhusiana na nafasi ya kazi ya IT SPECIALIST wa TRA SACCOS tulio fanyaga interview pale TRA katika chuo chao cha kodi kilivhopo mwenge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A publishing company in Dar es Salaam is looking for a graphic designer: Requirement: Competent with Adobe Suit Case, In design, Photoshop, Illustrator. Period: One month, and operating...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Links za nafasi mbali mbali za kazi: AJIRA TANZANIA 2. Writing Good Cover Letter: COVER LETER | AJIRA TANZANIA 3. Writing Good Curriculum Vitae WRITING CV | AJIRA TANZANIA 4...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Heshima mbele wakuu,mwenzenu natafuta kazi customer care,reception or office attendant nina diploma,iwe sehemu yoyote Moshi,arusha kokote na nina ujuzi wa computer. Naombeni msaada wakuu,nawasilisha!
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Back
Top Bottom