tafadhali ufahamu kidogo hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tafadhali ufahamu kidogo hapa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ms mashaba, Jul 31, 2012.

 1. M

  Ms mashaba Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna mashirika ya umma kama tanapa, tra n.k. je mashirika haya wanaajiri watu baada ya muda gani?. TRA walimfanyia oral interview rafiki yangu mwezi mmoja umepita hakuna feedback yeyote. TANAPA kazi za mwezi wa kwanza leo ndo wanaita watu kwenye written interview. je kuna kazi hapo au ndo...............
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mpaka wapate wapate kibali cha kuajili kutoka serikali kuu, na ukumbuke kuwa serikali kuu ina mambo mengi ya kufanya. Muda wa kutoka kibali inategemea na uharaka wa uhitaji wa mfanyakazi husika.
  Na wakati mwengine ushapu wa mkuu wa idara inayohitaji mfanyakazi husika. Mfano hapa nlipo mie, nakumbuka niliomba kazi, nlisubiri hadi nikasahau kuwa kuna sehemu nmeomba kazi. Mara ghafla nkaletewa taarifa kuwa naitwa ktk usahili.

  Tofauti na kampuni binafsi, wao unaweza omba kazi leo, kesho usahili na keshokutwa unaanza kazi.
   
Loading...