msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by maria pia, Jul 28, 2012.

 1. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nina adivance diploma ya marketing,(frm CBE)natafuta kazi zaidi ya mwaka....msaada wenu wana jf
   
 2. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Fanya mpango upate degree labda hiyo elimu haitoshi, siku hizi ushindani mkubwa sana mkuu.
   
 3. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ukiona njia moja inakataa jaribu njia nyingine usipende kungangania njia moja halafu jaribu kuangalia na mfumo unao tumia kuomba hizo na ukaweza kufanya tathimini nini kinakukwamisha but best wishes
   
 4. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tembelea humu kila siku mpaka kieleweke www.zoomtanzania.com kila siku. Pia update CV yako iwe ya kisasa zaidi
   
 5. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  thanx kwa ushauri
   
 6. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu namalizia masters yangu,npo kwny research bt nikiomba natumia hyo coz sehem nyingi ukiomba na masters wanazingua
   
Loading...