Kuitwa kazini tra nafasi ya it specialist | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kazini tra nafasi ya it specialist

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Sambukile Sambamba, Jul 27, 2012.

 1. S

  Sambukile Sambamba New Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za majukumu ndugu zangu nilikuwa naomba mwenye taarifa kuhusiana na nafasi ya kazi ya IT SPECIALIST wa TRA SACCOS tulio fanyaga interview pale TRA katika chuo chao cha kodi kilivhopo mwenge kule mpaka leo naona kimya hivi ile interview ilishiaga wapi? au kuna mmoja wetu alishapataga ile kazi kinyemela. naomba tujuzane wanao fahamu ili tuepukane na uzembe wa kusubiri majibu hewaaa.
   
 2. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Pole bila shaka haukufanikiwa kupita kwenye Interview...jaribu nafasi nyingine wakati ujao.
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  ukiona manyoya............... ujue keshaliwa
   
 4. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  pole we endelea kusubiri tu!
   
Loading...