Je mgomo wa walimu unaweza kuwa faida kwetu tusiokuwa na ajira kipindi hiki cha sensa?

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Samahan wakuu mimi ni muhanga wa ajira hapa nchini na jana nimesikia tichaz wamegoma je wamegoma mpaka kuhesabu watu ili sisi tusio na ajira tujue kama tutapata japo kanafasi maana matichaz ndo walipewa first peority sasa vipi inakuwaje? Nawakilisha
 
Kweli hebu wakuu mtujuze hata mm nina Cheti cha Grade 'A' Marangu TTC mwaka ..... je wizara ya Elimu naruhusiwa kufundisha somo la kiingereza au lolote nikapata huo mshahara maana sina kazi, na katika Sensa tunaruhusiwa?
Kuvuja kwa Pakacha nafuu ya ...............
 
Walimu wamegomea kazi zao tu za kufundisha na mitihani. Sensa haihusiki maana inasimamiwa na Idara nyingine ya serikali na tayari Ofisi ya Takwimu imewaajiri takriban walimu wote waliogoma! Usilalie mlango wazi bahati ya mwenzio bro!
 
Ebwana sina ajira kama wameamua kugoma kwa shibe yao na mimi nina njaa ata uji wa chumvi sina hili kwangu kama zali la mental tu tena wamegoma wakat ambao nina njaa balaa
Njaa itakuua ndugu yangu.yaani wewe hicho wanachodai wenzio hakikugusi.?
 
Kweli tumeumbwa tofauti.. Wenye njaa na wenye shibe. Wenye ajira na wasio kuwa na ajira so hatuwez kuwa sawa wewe ukisema cha nini mwenzako kama mimi nasema nitakipata lini
kweli tumeumbwa tofauti!mpigie kawambwa.
 
Kweli tumeumbwa tofauti.. Wenye njaa na wenye shibe. Wenye ajira na wasio kuwa na ajira so hatuwez kuwa sawa wewe ukisema cha nini mwenzako kama mimi nasema nitakipata lini
yah,nimekubali and nikupa mbadala.just call kawambwa.
 
Mabadiliko yanaweza kufanyika wakati wowote hii ndo tanzania bana si umeona walichoambulia wauguzi ebo
Walimu wamegomea kazi zao tu za kufundisha na mitihani. Sensa haihusiki maana inasimamiwa na Idara nyingine ya serikali na tayari Ofisi ya Takwimu imewaajiri takriban walimu wote waliogoma! Usilalie mlango wazi bahati ya mwenzio bro!
 
Umeona mkuu watu hatuna ajira wengine wanachezea ajira badala ya kuchezea mishahara yao
Kweli hebu wakuu mtujuze hata mm nina Cheti cha Grade 'A' Marangu TTC mwaka ..... je wizara ya Elimu naruhusiwa kufundisha somo la kiingereza au lolote nikapata huo mshahara maana sina kazi, na katika Sensa tunaruhusiwa?
Kuvuja kwa Pakacha nafuu ya ...............
 
Samahan wakuu mimi ni muhanga wa ajira hapa nchini na jana nimesikia tichaz wamegoma je wamegoma mpaka kuhesabu watu ili sisi tusio na ajira tujue kama tutapata japo kanafasi maana matichaz ndo walipewa first peority sasa vipi inakuwaje? Nawakilisha

Kama mwalimu anahesabu vizuri hata akigoma bado ataendelea kuhesabu vizuri!!
 
Back
Top Bottom