Re: Short list ya bot!!!!!!

Insabhunsa Gusa

Senior Member
May 13, 2011
109
88
Wadau,

Nani anafahamu kama bot wesha short list zile kazi wametangaza hivi karibuni??? Au huwa wanachukua muda gani kutoa short list???? Deadline ilikua july 20,2012..asanteni wadau.
 
Back
Top Bottom