Mtaji wa (tzs ) millioni 4 unaweza kuanzisha biashara gani? Naomba msaada wadau wa biashara.

funny

Senior Member
Jun 30, 2012
102
23
Mimi nimemaliza kidato cha nne miaka ya tisini. sikufanikiwa kuendelea na masomo kutokana na matatizo ya kifamilia.
Na sasa nina familia tayari swala la kurudi shule naona kama ni gumu kidogo. Nina kiasi cha tzs 4 million ambazo nahitaji kuinvest ktk biashara au popote kulingana na nitakavyo shauriwa nanyi wadau.
serious nahitaji msaada wenu ilikuweza kuendesha maisha kwa njia za halali.
Natanguliza shukrani kwa msaada kutoka kwenu wadau.
Naombeni maoni yenu.
 
Uko wapi/sehemu gani dogo?. Kwa kuwa hiyo pesa bado kiduchu, fungua kioski cha kuuza vyakula/bites/chai/kahawa/soda etc. weka mazingira safi, wahudumu safi, chakula kizuri, chipsi kuku/mishikaki/mayai. jaribu kuwa tofauti na wengine ...in terms of service and quality. e.g Home delivery, Take away, advertisement .............
 
Samahani kama ntakukwaza coz sijui imani yako.Biashara ya kibanda cha kiti moto inalipa vizuri sana hata ukiwa na mtaji wa milioni 2 tu.Hakikisha unapata vijana wawili sharp na eneo lisilo rasmi saana na iwe ni kwenye viunga vya mji kama uko Dar namaanisha maeneo kama Tabata,Ukonga ambayo mahitaji ni makubwa ila outlets bado ni chache na hayana imani kali wengi.Ukipata eneo la kibanda hata kama utalipa elfu 50 kwa mwezi ukapata na friza ya mtumba ya laki 2 kwa ajili ya kutinzia then jiko la gezi linaweza kukugharimu laki moja na structura ya kuuzia mathalani lako 2 au 3 hivi coz haipaswi kuwa rasmi sana though hygiene iwe ni driving factor.

Hii una uhakika wa kuwa unaiona hela yako kila siku na kuamua ipi irudi na ipi usevu au utanue biashara zaidi.
 
mkuu kuna biashara zinalipa sana kama uko mikoa ambayo imejaliwa kuwa na wingi wa wanafunzi wa vyuo kama mwanza na dar fungua biashara ya kuuza nguo za wanawake utapata dili sana
 
Akhsante kwa ushauri bro!
Mimi nipo Dar (temeke)

Ukiwa na idea nyingine usisite kunistua ila hii nitaifanyia kazi.

Thanks again bro.
 
Akhsante sana ndugu yangu.
Ila imani yangu hainiruhusu kufanya biashara hii uliyonielekeza.
Nashukuru kwa kujali naomba kama unawazo lingine naomba usichoke kunistua.

Akhsante .
 
Mimi nimemaliza kidato cha nne miaka ya tisini. sikufanikiwa kuendelea na masomo kutokana na matatizo ya kifamilia.
Na sasa nina familia tayari swala la kurudi shule naona kama ni gumu kidogo. Nina kiasi cha tzs 4 million ambazo nahitaji kuinvest ktk biashara au popote kulingana na nitakavyo shauriwa nanyi wadau.
serious nahitaji msaada wenu ilikuweza kuendesha maisha kwa njia za halali.
Natanguliza shukrani kwa msaada kutoka kwenu wadau.
Naombeni maoni yenu.

Asikudanganye mtu mkuu, biashara ya unga ndo inalipa. nunua kete zako kadhaaa kawauzie mateja wajidunge. miezi sita unaendesha Hammer.
 
Samahani kama ntakukwaza coz sijui imani yako.Biashara ya kibanda cha kiti moto inalipa vizuri sana hata ukiwa na mtaji wa milioni 2 tu.Hakikisha unapata vijana wawili sharp na eneo lisilo rasmi saana na iwe ni kwenye viunga vya mji kama uko Dar namaanisha maeneo kama Tabata,Ukonga ambayo mahitaji ni makubwa ila outlets bado ni chache na hayana imani kali wengi.Ukipata eneo la kibanda hata kama utalipa elfu 50 kwa mwezi
NduGU YANGU HAKUNA FLEM YA ELF 50 KWA MWEZI, NYING ZINAANZA LAKI MOJA, ELF 50 NI SAWA NA ALFU MOJA NA USHEE KWA SIKU HATAPATA SEHEM POA KWA BEI HYO.
 
Nunua mazao kama mahindi,mpunga wkt huu ambapo bei imeshuka kwa mfano mikoa ya Iringa,mbeya,katavi,rukwa/morogoro then weka stock kwa muda wa miezi kadhaa.Bei ikipanda utauza chakula hicho na kupata faida mara dufu.Tenga fedha za usafiri,utunzaji na huduma nyingine.Ukiwa makin utatoka mwake.
 
Akhsante emmu. ni wazo zuri nalikubali.
 
Asikudanganye mtu mkuu, biashara ya unga ndo inalipa. nunua kete zako kadhaaa kawauzie mateja wajidunge. miezi sita unaendesha Hammer.

Akhsante kwa wazo lako ila imani yangu inanikwaza kufanya biashara hiyo.
 
1.anzisha chuo cha kutoa mafunzo ya muda mfupi
2.fungua duka la jumla.....la vitu vidogo dogo
3.fungua it company.......
4.fungua building and contructions company
5.fungua pub au bar.....
hizi ndo inshu mjini zinazolipa tuu.........
 
hiyo namba 5 akipata sehem zenye mishemishe atafurah mwenyewe..nataman iyo ela ingekua yangu.
 
1.anzisha chuo cha kutoa mafunzo ya muda mfupi
2.fungua duka la jumla.....la vitu vidogo dogo
3.fungua it company.......
4.fungua building and contructions company
5.fungua pub au bar.....
hizi ndo inshu mjini zinazolipa tuu.........
Akhsante Mkuu kwa ushauri. nitaufanyia kazi.
 
we hiyo hela si ni mshahara wa mwezi tu huo ..njoo mtekenyo pub ntakupa write up ya project ya kufanya mdogo wangu ..utakuwa tajiri la kutupwaaa hapa mjini ....
 
mkuu ulizia kwa watu wa sokoni biashara ya asali,nasikia inalipa sana,faida ni nusu kwa nusu kama ngada vile,nasikia ukiwa na M4 au 5 kwa kuanzia unaweza kuwa levo zingine kabisa,kila la kheri mzee
 
1.anzisha chuo cha kutoa mafunzo ya muda mfupi
2.fungua duka la jumla.....la vitu vidogo dogo
3.fungua it company.......
4.fungua building and contructions company
5.fungua pub au bar.....
hizi ndo inshu mjini zinazolipa tuu.........
Jamani hiyo 4m inaweza kufungua
bar au pub? Nakodi ya nyumba ndio hiyohiyo?
Katika hizo biashara zoote0ulizotaja 4m hatoshi
 
Back
Top Bottom