Hii imekaaje? Ni sahihi kweli?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje? Ni sahihi kweli??

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Sizinga, Jul 31, 2012.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Yaani tangazo la kazi limetoka, umetuma maombi, after a month and more umepigiwa simu uende kwenye interview, umefanikiwa kwenda, baada ya interview wamekupenda na wamekupa kazi na inbrief baadhi ya vipengele vile muhimu m-meshakubaliana, na umeambiwa subiri ticket yako ndani ya siku 2 tutakupigia.

  Halafu baada ya siku 2 hawajapiga...unakuwa mpole na inakaribia wiki bado hawajakuita....so ni sahihi kuwapigia simu kuwaulizia wamefikia wapi au ni sahihi kwenda ofisi zao kuulizia?? Manake isije kuonekana una kiherehere cha kazi ikawa taabu!!
  Mshkaji wangu anaulizia hii imekaaje...nikamwambia subiri niende jamvini kwanza!!
   
 2. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Hakuna kiherehere hapo....mtu huwezi tu kusubiria kama tunavyomsubiria Yesu! Kama mimi ndo bosi mwenyewe; halafu hutaki kuulizia, wala sitakuona kwamba hauna kiherehere but nitakuona u're weak in follow up! Ni stupid HR ndie atakuona una kiherehere kwa kuulizia; however, let it not be too much! Tell ur friend to call or go physically, na jibu atakalopewa ndilo analotakiwa kuwa mstahimilivu nalo.
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mwambie aulizie hakuna shida
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ok good advice indeed!!
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ok nimekusoma!!
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na mkuu NasDaz
  kufuatilia kazi si kiherehere bali ni kuonyesha you "Care"
  na kweli unataka kazi. mwambie huyo rafikio aonyeshe ya kwamba anataka kazi
  na ye afuatilie na si boss kumfuatilia. maana si ye peke yake anaitaka hiyo kazi.
  Usikute boss ana CV kama 50 hapo juu ya meza kwa yule anaefuatilia na anaonyesha "commitment" fulani
  ndie mwenye chansi kubwa ya kupata kazi. Mwambie rafikio kila lakheri . Na afuatilie, na ikibidi ofisini aende.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Waoh...thanks, ngoja nimjulishe fasta aende!!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Asipouliza ataonekana hayupo serious huenda ni mtego kujua kama ni mfuatiliaji au la. Hapo hakuna jinsi awapigie simu au aende kabisa kuwauliza.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Asipoteze muda, kama ni jirani aende, kama ni mbali apige simu kuulizia.Nadhani ndiyo maana hasa ya kupeana mawasiliano!
  Kazi za siku hizi haziaminiki, unaweza kuta jamaa kawahonga huko, yuko katika process za kukupora nafasi, bora umfumanie kenye makorido kabla hajakuharibia zaidi!
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Aende phisically tena ahakikishe anaonana na senior personel officer kwa sababu kinachofanyika ni kwamba wakati mwingine mtu anapewa jukumu la kumpigia simu. Huyo mtu kama anataka kumpa hiyo kazi mtu mwingine anaweza kureport kwa boss kuwa hampati kwa simu. Baadae boss anasema basi mpigieni yule mwingine, hapo ndio jamaa anaingiza mtu wake.
   
 11. T

  The State Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bado hujaeleweka vizuri. Unasema mmekubaliana na tayari umeshapewa kazi.Umepewaje kazi? kwa mdomo au kwa contract?. kama umesaign contract nafikiri terms ziko wazi na huna haja ya kupaparika as long as wamekwambia watakupigia na kama huwezi kuanza hiyo kazi mpaka wakupe ticket then tulia na mshahara wako uko palepale. Unless utuambie ukweli kwamba kazi hujapata then nita-advise otherwise. Let's work in a professional manner
   
 12. o

  omusimba JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  nadhani hao ni advans bank!
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Sometimes unawezakuwa walikupigia hukupatikana. Its ok and very professional kuulizia. Ila sasa usije ukaulizia kama mtoto mdogo. Waulize when do they think watakuwa ready, na iwapo hujawasikia when next can you check with them again.
   
 14. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145

  Mkuu hapo kwenye Red ulikosa kabisa neno lingine la kuweka hapo??
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Naona nimechelewa si kiherehere ni kuonyesha unajali Siziga hujambo lakini habari za Ntwara??
   
 16. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ok, nimesema baadhi ya vipengele muhimu vya mkataba tayari vimeshakubaliwa...hii ni just kwa mdomo tu like salary and contract of working, accomodation, food and transport.
  So wakasema subiria air ticket yako within two days itakuwa iko pouwa then utajulishwa everythng. Thatz all
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  :bolt:Halafu weye Dena Amsi kukaa kimy kote manake ndio nini?? Haya usharudi toka kule kwa watani zetu? Ntara bana sijaenda nadhani ndani ya wiki hii nitaenda kuwasalimu, Im complishing smthng here now.
  Mzima lakini...manake nimekumiss mno..
   
 18. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Lakini si kuna ukweli kwamba Yesu tunamsubiria...ama?
   
 19. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Good advice..ngoja niupdae hapo juu...manake tayari tushawapandia hewani
   
 20. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mi nilitokea na scenario kama hiyo ilikuwa ni MD kusign tu nikaambiwa nisubiri ila nilikuwa nafutalia na nilikuwa na mulizia HR na alikuwa ananipa majibu yanayostahili ni haki yake kuuliza mkuu..
   
Loading...