Msaada wa haraka: Project coordinator,analipwa kiasi gani kwenye Ngo's za mazingira. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka: Project coordinator,analipwa kiasi gani kwenye Ngo's za mazingira.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Triple G, Jun 27, 2012.

 1. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  hello wana jf?natumaini mu wazima.Naomba msaada wa kujua kiwango anacholipwa project coordinator.Najua humu kuna watu wa nyanja mbalimbali watanipa mawazo.ahsanteni.
   
 2. Planner

  Planner JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  minimum take home is 2.5M but kuna tofauti kubwa ya NGO's mfano local na international NGOs funguka zaidi aina ya NGO ili upate jibu lenye accuracy kubwa:director:
   
 3. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Duu....!!!ni Italian NGO inahusika na maswala ya mazingira hapa nchini.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  kuna ambae namfahamu anafanya kwenye NGo ya wamarekan,basic ni 2.3M,ila take home ni 1.7M.
   
 5. l

  leila jawadu New Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi ngumu kupata jamani, hasa kama hauna wa kukushika mkono
   
Loading...