Msaada kuhusu Erolink | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu Erolink

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pettymarcel, Aug 1, 2012.

 1. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,421
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  Samahani wakuu mwenzi uliopita kuna ndugu yangu aliitwa kufanya interview ya customer care vodacom na hii kampuni na walifanya written interview wakaambiwa wataitwa tena kwa oral interview je huwa inachukua muda gani kupata second call maana mpaka sasa hawajamuita na yupo anangoja mwenzi sasa je huwa wanachukuwa muda gan maana dogo kashajikatia tamaa
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  mmh aendelee kusubiri..ila kwa info nilizonazo, zitakukatisha tamaa, mi naona ni bora aende tu mwenyewe pale ofisi zao atapata majibu coz huwezi kukaa zaidi ya mwezi unasubiria call tu
   
 3. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  huwa hawachukui zaidi ya siku 3 kuita kwa oral interview,akiona kimya ajue ni unsuccesful
   
Loading...