Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Do You Have Financial Security? In the modern world there is reality that we must all face, we are all responsible for our own financial security and that of our family. Gone are the days when...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Kwa hesma kubwa na taadhima, nawasalimu nyote wana-jf. Mimi ni mwalimu wa sekondari niliesomea uwalimu kwa opportunity tu, na siyo "inness" yangu. Nilitamani sana baada ya six niende kusomea...
0 Reactions
31 Replies
14K Views
Jamani wanajamii hawa jama wa utumishi wameweka file la tangazo la kazi leo 11 juni lakini halifunguki. zaidi angalia mwenyewe kwenye website yao.:nod::kev:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
tume ya ajira wametangaza kazi lakini hazifunguki aliye zipata ninaomba azipost jamii!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wa hili jukwaa mimi ni kijana niliye maliza kidato cha sita hivi karibuni na matokeo yangu yametoka hayana hata wiki moja, ndoto zangu ni kuwa Polisi hasa (trafic), katika kufuatilia ni...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Mimi ni graduate 2009 UDSM,natafuta kwa mikoa ya Mwnza na Mara kwa masomo ya Language (A-L) na English (O-L) & GS
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Jamani mimi ni graduate mtarajiwa sasa nimejaribu kucheki matangazo mengi kuhusu nafasi za kazi nyingi ninaweza ku aply lakini tatizo nyingi zinahitaji experience wadau za kama si 3yearz ni mor...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, anahitajika fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kutosha katika kazi hii. Kwa maelezo zaidi piga 0713 727676.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Please wanajamii,, nimeitwa kwenye interview ya KPMG baada ya kupita kwenye aptitude test,, naomba mwenye ufaham wa common question asked anisaidie,, i never attended any interview before
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za majukumu wakuu, ningependa kujua mshahara daraja la COSS8 pale Commission for science and technology (COSTECH) anapokea kiasi gani? Thanks!!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
COSEKE Tanzania Limited inahitaji Hardware Technician mwenye uwezo wa kurepair na ku troubleshoot vifaa mbalimbali kama Computers, Servers, Scanners etc. Vigezo: -Awe na umri usiozidi miaka 30...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta kazi ya aina yoyote sichagui nipo dar nafundishika kwa haraka sana 0782191200
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Wanajamvi kwa mtaalamu yeyote wa EIA anayehitaji kufanya kazi za EIA ani PM.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wadau, katika nafasi zilizotangazwa na MAMLAKA YA BANDARI DAR-ES-SALAAM (TPA) niliomba nafasi ya DEPUTY DIRECTOR - CORPORATE SERVICES deadline ya maombi ilikuwa tarehe 15.05.2013 lakini hadi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CRDB -Sank PLC is a leading private commercial bank with a network of 94 branches throughout Tanzania. Established on 1st July, 1996, it is owned by more that 11,000 shareholders and is one of the...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanahitajika vijana 6 wenye kujituma na uzoefu wa kazi ya masoko. Vigezo: Uzoefu wa kazi kuanzia mwaka mmoja,kiwango cha elimu kitapimwa na uwezo na uzoefu wa kazi,awe na uwezo wa kuongea na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dear All, The following positions are available at an Environmental Consultancy company. Sociologist To deal with the collection of anthropological and social data, analysis and report writing...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi wadau, Mimi ni mwanafunzi wa Chuo kikuu, (English Linguistics) ninategemea kufunga chuo mnamo tarehe 28 ya mwezi Juni kwa ajili ya likizo ndefu ambayo itadumu hadi mwishoni mwa mwezi Oktoba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niomeona tangazo la nafasi za kazi kwa crdb bank moja ya vigezo wanataka wachina tu sijaelewa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani nina Bsc Computer science nataka kufanya volunteering katika banks,naombeni msaada kwani kila ninapojaribu kuomba ninakosa,wana JF nisaidieni mawazo yenu ni mchango Tosha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom