Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wana jamii Mim ni muhitim katk fani ya IT (2011) kwa level ya Degree, sijafanikiwa kuwapata kazi na nimeapply sana , hivyo nawakilisha ombi langu kwa wahitimu wenzangu ktk fani hii ambao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nafasi za mafunzo ya Jeshi la JKT zimetoka kwa awamu ya pili kwa walio maliza kidato cha sita mwaka 2013 kwa wanao penda kujiunga mnatakiwa kwenda makambi ya JKT popote pale karibu nawe na...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Habar? wadau msaada wenu mwenye any infor kuhusu nafasi za kujiunga na jkt, nlsikia nafasi zinaweza toka mwezi huu wa 6, pls mwenye infor yoyote kuhusu hilo
0 Reactions
10 Replies
4K Views
wenye vigezo toklezeeni hapooooooo, mi sinaaaaaaaaaaaaaaaaaa! THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/B/148 5 VACANCIES...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
1. Civil Engineer - 1 vacancy 2. Electrical Engineer - 1 vacancy 3. Quantity Surveyor - 1 vacancy Applicants should be graduates who have never been employed before. They should attach passport...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
STATION OFFICER- KILIMANJARO AIRPORT Kenya Airways invites applications from suitably qualified persons for the above post in their Kilimanjaro Airport Office. ROLE PURPOSE STATEMENT: - To...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni mtanzania niliyehitimu mafunzo ya cheti ya hotel management and tourism natafuta nafasi za kazi sehemu yoyote katika nchi hata kama ni tofauti na nilichokisomea
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hellow! Please mwenye any information kuhusu nafasi mpya za kujiunga na jkt ths month please share with us n it wil b helpful to all in needs, thanks
0 Reactions
2 Replies
7K Views
http://startreferraljob.com/index.php?refcode=38265
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bunge limetipisha muswada wa marekebisho ya secretarieti ya ajira baadhi ya nafasi za kazi zitangazwe na halmashauri na kuajiri huko huko kama madereva, wahudumu, masecretary, watunza kumbukumbu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo Bunge kwa Moyo mmoja imeridhia suala la ajira za Kada kama Dereva,Mhudumu na nyingine zinazofanana na hizo kutangazwa na Halmashauri husika pia Usaili kufanyika huko huko kwenye Halmashauri...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Tazara vip hawajaita kwa interview???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu nauliza mwenye tetesi za usaili uhamiaji kazi za koplo na kontebo anijulishe
0 Reactions
3 Replies
5K Views
hey wakuu kunatangazo nimeliskia tbc leo usiku baada ya taarifa ya habari, sema nlikuta ndo linaishia ishia! Kuhusiana na nafas za jkt, kwa o.level.a.level na profesional! Mwenye full info asaidie...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
yeyote mwenye taarifa ya tangazo la usaili la tume ya utumishi wa mahakama anipe taarifa,naomba kuwasilisaha!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wewe tayari umeshajiunga na umetengeneza kiasi gani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza kontena lenye urefu wa futi 20. Limekatwa mlango pamoja na madirisha. Kwa sasa linatumika kwa biashara ya stationery. Ukiliona ni kama jipya. Bei ni milioni 5.5, mazungumzo yapo. Lipo Mjini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana jf nina degree ya international relations,nimeomba job sana bila mafanikio,kujiajir mtaj tatizo.nipen ata mawazo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni binti wa kitanzania,nina miaka 20,naishi Dar,nmemalza kidato cha nne na kupata div 3,natafuta kazi yoyote ya kujishikiza mpka september ntakapoenda chuo,i speak fluent english,nina ujuz na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom