Msaada, msaada, msaada tafadhalini...


PSYCHOLINGUIST

PSYCHOLINGUIST

Member
Joined
Oct 27, 2012
Messages
62
Likes
7
Points
15
PSYCHOLINGUIST

PSYCHOLINGUIST

Member
Joined Oct 27, 2012
62 7 15
Hi wadau,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo kikuu, (English Linguistics) ninategemea kufunga chuo mnamo tarehe 28 ya mwezi Juni kwa ajili ya likizo ndefu ambayo itadumu hadi mwishoni mwa mwezi Oktoba. Ninatafuta kazi yeyote ya kufanya kwa muda nitakaoishi DAR. Ni kazi YEYOTE (sibagui). Zaidi, nina uwezo wa kufanya kazi zifuatazo:
1. Tafsiri (Translation) English - Kiswahili
2. Ukalimani (Interpretation) English - Kiswahili
3. Uhariri makala na maudhui. (Copy-editing and Content editing)
4. Uandishi (Creative Writing and Reporting)
5. Design (working with Adobe Photoshop, Premiere Pro) at intermediate level
6. Kufundisha (Teaching, particulary English language)
7. Kuweka maandishi ya tafsiri katika filamu (Movie Subtitling)
8. Data recording, storing and office assistance.

Pamoja na hayo, nina ujuzi wa kutumia kompyuta; Ms Office (Word, Excel, Powerpoint, Access, Email & Internet)

Nina kipaji pia cha kutangaza redioni (radio presenting & newscasting)

Naombeni msaada wenu wadau.....

MAWASILIANO: 0652768822.
 

Forum statistics

Threads 1,274,979
Members 490,865
Posts 30,529,417