Mi ni binti wa kitanzania naishi dar,nmemalza form four na nmepata div 3,natafuta kaz yoyote ya kujishikiza mpka ntakapoenda chuo mwezi wa tisa,i speak fluent english,pia nina ujuzi wa computer...
Wana janvi mimi mesomea bachelor banking and finance afu nmeipata hiyo form nataka niijaze lKin kuna maswLi najiuliza sijpata majibu je huanza kulipa kama ngapi hivi na kulingana na carrier yangu...
Ndugu wana jf ninahitaji container kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. liwe linapatikana katika mkoa wa Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri. Bandarini yanauzwa lkn bei...
Our company Tangazo.com has 2 vacant post for Marketing Executive. Qualification required is Kiswahili & English speaker and must know use of Internet. Send your CV with passport size picture...
wana JF naomba mnisaidie hapa, hizi nafasi za ajira ktk jeshi la police zilizotoka hivi juzi, kwa siye tuliopo nje ya vyuo tunatumia njia gani kutuma maombi?
nahitaji freelancer graphic designer,alie tayari kufanya kazi kiujasiriamali!!atakua share holder katika kuikuza na kuendeleza website ya The Ultimate Tanzania Business Directory | RomTanzania...
wadau nauliza vp hao sido wameshaajiri? manake tulifanya interview ya credit officers mwezi wa pili hadi sasa naona utumishi wapo kimya. mwenye jibu please
AFISA WA BANDARI ANASWA AKIOMBA RUSHWA YA NGONO KWA MWANAFUNZI ILI AMPE AJIRA BANDARINI
Mtuhumiwa akihojiwa na polisi
MWANAMUME aitwaye Andrew Kabula (34), mkazi wa Kimara Mwisho jijini, hivi...
Wana JF wenzangu huyu ni mwanangu kamaliza juzi CPA anasubiria matokeo naomba kwa yeyote anayefahamu mahali penye kazi itakayomfaa huyu mwanangu please naomba tusaidiane kwani kazi zimekuwa ngumu...
Naomba kwa anaye jua anijuze tafadhari, Viambatanisho katika form ya mkopo wa elimu ya juu, je nikiambatanisha kopi ya kitambulisho cha mpiga kura ya mdhamini wangu, nitatakiwa pia kuambatanisha...
jamani wanajamii wa forum natafuta kazi yoyote ya IT kama networking installation,configuretion and maintenance,software development,knowledge ya PHP and Mysql,oracle,Linux na window server...
Naomba msaada mwenye kumfahamu fundi ujenzi muaminifu na mtaalam kwenye fani ya ujenzi, vizuri akawa anaishi maeneo ya kimara au mbezi au maeneo jirani na hapo, msaada tafadhali
JOB VACANCIES
COMPANY NAME: EXECS OIL & GAS COMPANY-SOUTH SUDAN
JOB LOCATION:FRANCISTOWN,SOUTH SUDAN
Job Ref: EXECSOIL/FEP/SSDN986-01.
Execs Oil & gas Company in South Sudan has immediate...
Wanabodi,
Habari nilizozipata hivi punde ambazo bado sijazithibitisha zinasema ile "Aptitude Test" iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwa ajili ya nafasi mbalimbali za kazi zilizotangazwa na PSPF...
I AM PERFECT MBOGORUME, A STUDENT AT UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM , STUDYING B.A.ed SECOND YEAR ,
I WOULD LIKE TO HAVE AN ACCESS TO ANY TEMPORALY JOB THAT WILL SUIT MY CARRIER.
MY ACTIVE E.MAIL IS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.