Piece work ya EIA

Morick

Senior Member
Dec 11, 2012
114
17
Wanajamvi kwa mtaalamu yeyote wa EIA anayehitaji kufanya kazi za EIA ani PM.
 
EIA ni kazi zinazofanywa na wataalamu au consultants kwenye miradi mbalimbali hasa ile ambayo inaweza kuleta athari katika mazingira,kijamii..kwa ufupi EIA (Environmental Impact Assessment) ni Tathmini ya Athari ya Kimazingira kwenye miradi,mradi wowote ambao unataka kufanywa mahali popote,kwa sheria za sasa na za world bank ambao ndio funders wakubwa wa miradi mingi inataka ifanyike tahmini hii kabla mradi huo haujaanza ili kuweza kubaini athari zake aidha positive au negative na kutafuta namna ya kuzuia (mitigation) au kuboresha zile ambazo ni positive. natumai nitakuwa nimejitahidi kidogo kukufafanulia
 
sasa wewe unatafta Consultants wa kukufanyia EIA au unataka mtu wa kumuajiri kwenye hiyo section ya EIA?
 
EIA ni kazi zinazofanywa na wataalamu au consultants kwenye miradi mbalimbali hasa ile ambayo inaweza kuleta athari katika mazingira,kijamii..kwa ufupi EIA (Environmental Impact Assessment) ni Tathmini ya Athari ya Kimazingira kwenye miradi,mradi wowote ambao unataka kufanywa mahali popote,kwa sheria za sasa na za world bank ambao ndio funders wakubwa wa miradi mingi inataka ifanyike tahmini hii kabla mradi huo haujaanza ili kuweza kubaini athari zake aidha positive au negative na kutafuta namna ya kuzuia (mitigation) au kuboresha zile ambazo ni positive. natumai nitakuwa nimejitahidi kidogo kukufafanulia

ahsante sana..
 
Back
Top Bottom