Re: Utumishi wametoa nyingine

savio mlowe

Member
Apr 18, 2013
13
2
Jamani wanajamii hawa jama wa utumishi wameweka file la tangazo la kazi leo 11 juni lakini halifunguki. zaidi angalia mwenyewe kwenye website yao.:nod::kev:
 
punguza hasira ndg hizo habari una proof nazo mbona unataka kukatisha tamaa watu??kama una ushahidi weka jamvini

Siko apa kwaajiri ya kukatisha watu tamaa,mwenye kuomba aombe na asietaka aache ila ukweli utabaki palepale kwamba hizo kazi wanazitangaza kama danganya toto ila watu wa kuwaajiri tayari wanao.Kazi kwako kama kusuka ama kunyoa
 
Mbona file lenyewe unalolizungumza linafunguka?! achilia mbali kwamba ni la tarehe 12, hayo ni makosa ya uchapaji. Provider wa Internet yako ni nani? Tangazo lenyewe ni Na.EA.7/96/01/E/02 Wanahitaji Treasury Registrar.Duty Station:DSM-HQ. Wapo baadhi ya Watanzania miongoni mwetu kama wewe, wamekosa umakini na wakikosa jibu kidogo wanakimbilia kulalamika bila sababu za msingi bila kujishughulisha.
 
punguza hasira ndg hizo habari una proof nazo mbona unataka kukatisha tamaa watu??kama una ushahidi weka jamvini

Acha hizo wewe kama unafanya kazi huko sema, lakini ukweli ndiyo huo bora ajira zingebaki kule zilikokuwa kuliko hawa Utumishi washenzi kabisa na watalaaniwa maana wanawatabisha watu wanachoma manauli kutokea huko Kibondo na Namanyere eti wanakuja kufanya interview ambazi tayari nafasi zina watu
 
Mueleze uyo kaka,huenda katumwa na wakubwa zake wa kazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom