Fundi pikipiki anahitajika!

Fundi pikipiki anahitajika!

EMMAN

Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Ndugu wana jf, anahitajika fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kutosha katika kazi hii. Kwa maelezo zaidi piga 0713 727676.
 
Anahitajika wap? Taja mahali ulipo na unamtaka kwa temporaly job au permanent?
 
Anahitajika wap? Taja mahali ulipo na unamtaka kwa temporaly job au permanent?

Mi niko DAR ES SALAAM, maeneo ya tabata Kimanga. Fundi anahitajika kwa ajili ya permanent job! lakini ingekuwa vizuri kama ungepiga hio No nilokupa nikakupa maelezo zaidi! asante sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom