X xkamzy Member Joined Mar 27, 2011 Posts 61 Reaction score 11 Jun 11, 2013 #1 tume ya ajira wametangaza kazi lakini hazifunguki aliye zipata ninaomba azipost jamii!!!!!!!!!!!!!
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Jun 11, 2013 #3 Kwa hiyo tume imetoa nafasi moja tu mbona mimi sioni zingine kwenye hiyo attachment
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,139 Reaction score 75,596 Jun 11, 2013 #4 Hawa wasumbufu sana kila siku nafasi hizohizo zatangazwa ina maana watu wenye sifa hakuna! Kwakweli hii Tume inapoteza hadhi kila uchao.
Hawa wasumbufu sana kila siku nafasi hizohizo zatangazwa ina maana watu wenye sifa hakuna! Kwakweli hii Tume inapoteza hadhi kila uchao.
M musubati JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 217 Reaction score 60 Jun 11, 2013 #5 Nafasi kubwa sana hiyo. Wenye vigezo wataomba Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
M Masolwa Shinji Member Joined May 14, 2013 Posts 17 Reaction score 0 Jun 11, 2013 #6 Kutakuwa na watu wao wamewaandaa
Christine_1 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,888 Reaction score 44,256 Jun 12, 2013 #7 hiv zile za may vipi?