Electronics and Hardware Technician anahitajika.


Firefox

Firefox

Senior Member
Joined
May 10, 2011
Messages
129
Likes
26
Points
45
Firefox

Firefox

Senior Member
Joined May 10, 2011
129 26 45
COSEKE Tanzania Limited inahitaji Hardware Technician mwenye uwezo wa kurepair na ku troubleshoot vifaa mbalimbali kama Computers, Servers, Scanners etc.

Vigezo:

-Awe na umri usiozidi miaka 30.
-Awe amehitimu mafunzo ya Electronics/Full technician Certificate/Hardware Repair and Maintenance katika level ya Certificate au Diploma kutoka vyuo vinavyotambuliwa Tanzania (i.e VETA, DIT, etc).
-Awe na uzoefu kwenye kazi hizi usiopungua miaka miwili.
-Awe na uwezo wa kutekeleza majukumu anayopangiwa bila kusimamiwa.

Mshahara Mzuri utatolewa kwa atakayefanikiwa kuajiriwa.

Tuma maombi (Attach CV pekee) kwa kutumia email: info@ajira.org

Au lete maombi yako moja kwa moja ofisi za COSEKE Benjamin William Mkapa Towers 6th Floor.

Maombi yatumwe kwa Country Manager.

Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 14 June 2013.Website: www.coseke.com
Facebook: www.facebook.com/coseke


COSEKE is an equal opportunity employer.
Only shortlisted candidates will be contacted.
 
L

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Messages
717
Likes
80
Points
45
L

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined May 15, 2013
717 80 45
Nyambaf..weka wazi mshahara sio mnasema mnono halafu mtu wa watu mnakuja kumpa 250000
 

Forum statistics

Threads 1,274,326
Members 490,664
Posts 30,508,486