Hi wadau,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo kikuu, (English Linguistics) ninategemea kufunga chuo mnamo tarehe 28 ya mwezi Juni kwa ajili ya likizo ndefu ambayo itadumu hadi mwishoni mwa mwezi Oktoba...
Naombeni msaada wa ushaur ,mawazo na mafunzo ya ukalimani na tafsiri.naipenda sana kaz hii lakini.sina dira nianzie wap ili nipate kujua kaz hizi vzr.mm nimemakiza chuo kikuu ,katka taaluma ya...
Mm nikijana nliemaliza chuo chamipango dodoma bachelor of enviromental planning natafuta kazi. Nimeapply several places but still kimya naombeni msaada wenu.. Thnx
hellow wana JF, naitwa rehema nimemaliza 4m six na nina ujuzi wa computer, natafuta kazi. Jamani naombeni mnisaidie niweze pata kazi kwa anaejua napoweza pata kazi. Jamani naombeni msada am rily...
habari zenu wanajamii naombeni mnisaidie nimesoma diploma ya social studies natafuta kazi kwenye NGO's hata yakujitolea nipate tu ya nauli nipo Tanga. Email: madata84@gmail.com
Jana nilienda kufanya test ya PSPF pale DUCE post ya compliance officer grade II niliyo yaona sikuamini macho yangu na nilipigwa na butwaa nisijue hatua gani ya kuchukua na mwisho wa siku...
Mi kijana (mvulana) nimehitimu mafunzo ya uhazili na kompyuta katika chuo cha veta iringa kwa muda wa masomo wa miaka 2 level ii na kufaulu pia nimefanikiwa kufanya mtihani wa nabe...
Naombeni msaada wa ushaur ,mawazo na mafunzo ya ukalimani na tafsiri.naipenda sana kaz hii lakini.sina dira nianzie wap ili nipate kujua kaz hizi vzr.mm nimemakiza chuo kikuu ,katka taaluma ya...
Msichana wa kufanya kazi za steshenari anahitajika
Vigezo:
Awe anajua kutumia vizuri kompyuta.
Awe na muonekano mzuri.
Awe anajua kuongea na kuandika kiingereza vizuri.
Umri usizidi miaka 30...
Salaam wana JF! Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha, nasoma shahada ya uhasibu mwaka wa pili, natafuta sehemu ya kufanyia field! Nimekwisha peleka barua sehemu zaidi ya sita lakini...
Pengine wengi walipo sikia swala la ajira laki sita walifikiri kuwa serikali itatangaza ajira laki sita ambavyo si kweli.
pole sana vijana kwa tatizo hili la ajira kwenye nchi yetu ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.